Bunge

Zungu: Fanyieni kazi zao la mkonge

NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’ ameitaka serikali kuhakikisha inafanyia kazi suala la kilimo cha zao la mkonge nchini.…

Soma Zaidi »

‘Ubora dawa za viuadudu mbovu, mbaya sana’

DODOMA; NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azzan ‘Zungu’, amesema dawa nyingi za cha viuadudu kutoka nje ya Tanzania zina ubora…

Soma Zaidi »

Ajira, uzalishaji kwa wakulima kuongezeka

DODOMA: SERIKALI imesema Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya mwaka, 2012 itatoa…

Soma Zaidi »

Bunge laridhia itifaki biashara ya huduma SADC

BUNGE leo limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya mwaka, 2012. Waziri…

Soma Zaidi »

‘Sheria Serikali Mtandao imeboresha utendaji kazi’

DODOMA: Kupitishwa kwa Sheria ya Mamlaka ya Serikali Mtandao Na.10 ya Mwaka 2019, kumeisaidia serikali kuboresha utendaji kazi wake kupitia…

Soma Zaidi »

Somo la biashara kuwa lazima sekondari

Wizara inatambua umuhimu wa somo la biashara na hivyo somo hili limepangwa kuwa ni somo la lazima kwa wanafunzi wote…

Soma Zaidi »

Serikali yafafanua utaratibu mgonjwa anayekosa dawa

DODOMA; Wizara ya Afya imevielekeza vituo vya kutolea huduma za afya kuweka utaratibu wa mgonjwa kupata dawa iliyokosekana hospitali aliyotibiwa,…

Soma Zaidi »

Mkongo wa mawasiliano kujengwa Sikonge-Inyonga

DODOMA; SERIKALI imesema imeendelea kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi na uendelezaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano kwa kuwa…

Soma Zaidi »

‘Wekezeni michezo ya ufukweni’

DODOMA; SERIKALI imetoa rai kwa wadau wa michezo mbalimbali kama mitumbwi na ngalawa, kuogelea, mpira wa kikapu na wavu kuwekeza…

Soma Zaidi »

Taarifa ya mabadiliko yaduwaza wabunge

RAIS Samia Suluhu Hassan, leo amefanya mabadiliko madogo kwenye Baraza lake la Mawaziri. Sasa ipo hivi wakati taarifa hiyo ikisambaa…

Soma Zaidi »
Back to top button