Diplomasia

Tanzania yasaini mkopo wa Sh bilioni 70 Abu Dhabi

U.A.E, Abu Dhabi: Tanzania imetia saini mkopo wenye masharti nafuu wa Sh bilioni 69.9 (dola milioni 30) na Mfuko wa…

Soma Zaidi »

Tanzania yazindua rasmi ubalozi Algeria

Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria.   Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje…

Soma Zaidi »

Bashungwa ziarani Uturuki

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  Innocent Bashungwa  amewasili mjini Istanbul, Uturuki na ujumbe wake kwa ziara ya…

Soma Zaidi »

Vita ya Urusi ‘ilivyomhamishia’ raia wa Ukraine kijijini Kizimkazi-Unguja  

Kizimkazi ni kijiji kilichopo katika Kata ya Kizimkazi Mkunguni, takribani 56 kutoka Mjini Unguja, Zanzibar. Wenyeji wa eneo hili, lenye…

Soma Zaidi »

Tanzania, Hungary kushirikiana sekta ya elimu

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ushirikiano baina ya Tanzania na Hungary una matunda mengi katika sekta ya elimu…

Soma Zaidi »

Rais Samia akaribisha wawekezaji Hungary

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema amekubalina na Rais wa Hungary, Katalin Novak wawekezaji kutoka Hungary kuwekeza katika miradi…

Soma Zaidi »

Rais Hungary kuwasili Tanzania leo

RAIS wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kuwasili leo na kufanya ziara yake nchini Tanzania kuanzia leo Julai 17 mpaka Julai…

Soma Zaidi »

Mkulima Ihemi amkamata Kakakuona

MKULIMA wa kijiji cha Ihemi wilayani Iringa Asajile Mwanjala juzi amemkamata mnyama aina ya Kakakuona anayeaminika kufanya utabiri wa mambo…

Soma Zaidi »

Rais Samia mwenyeji mkutano wakuu wa nchi Afrika

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu…

Soma Zaidi »

China, Tanzania kuimarisha ulinzi

SERIKALI ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China zitaendelea kushirikiana kupambana na vitisho vyote vya usalama katika kuimalisha ulinzi…

Soma Zaidi »
Back to top button