Diplomasia

Mstaafu Kikwete kutoa shule ya Uongozi Harvard

BOSTON, U.S.A: Rais Mstaafu  Dk. Jakaya Mrisho Kikwete yuko jijini Boston, Marekani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa…

Soma Zaidi »

Mafunzo ya pamoja ya Jeshi Tanzania na China yahitimishwa

PWANI: Mafunzo ya pamoja kati ya Jeshi la ulinzi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) na jeshi la Jamhuri ya watu…

Soma Zaidi »

Pole Morocco, Libya

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohammed Said akitoa salamu za POLE kwa niaba ya Jamhuri ya Muungano…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi awasili Cuba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi akiambatana na Mama Mariam Mwinyi pamoja na…

Soma Zaidi »

Kim Jong Un akutana na Putin nchini Urusi na kuacha maswali

URUSI, Moscow,Rais wa Urusi, Vladimir Putin amekutana na Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong Un katika mkutano uliojadili masuala ya…

Soma Zaidi »

Dk.Biteko aahidi ushirikiano na Mashirika ya Kimataifa Sekta ya Nishati

DAR ES SALAAM:Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk. Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Marekani…

Soma Zaidi »

Vijana 260 kujifunza kilimo Israel

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo…

Soma Zaidi »

Rais wa Indonesia kutembelea Tanzania

RAIS wa Indonesia, Joko Widodo atakuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia Agosti 21 hadi Agosti 22,2023 na…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Tanzania watunukiwa kusoma China

SERIKALI ya China imewatunuku wanafunzi 46 wa Kitanzania ufadhili wa masomo na wanafunzi wengine 114 wameshinda ufadhili wa programu ya…

Soma Zaidi »

Tanzania, Malawi kushirikiana kuzalisha umeme

TANZANIA  na Malawi zimeingia makubaliano ya ushirikiano katika nishati, ikiwa kutekeleza agizo la wakuu wa nchi hizo mbili. Akizungumza leo…

Soma Zaidi »
Back to top button