Siasa

Wasira: Mabadiliko sheria ya uchaguzi yameshafanyika

DAR ES SALAAM; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Stephen Wasira amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), hakina hoja…

Soma Zaidi »

CCM kifua mbele uchaguzi mkuu

MBEYA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kinakwenda katika uchaguzi wakiwa wanajivunia rekodi ya maendeleo yaliyofanyika chini ya uongozi wa Rais…

Soma Zaidi »

Wapya 50 wajiunga na CCM Mbeya

MBEYA: ZAIDI ya Wanachama wapya 50 wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Mbeya kutoka katika vyama vya upinzani wakitaja…

Soma Zaidi »

ACT: Kipaumbele ni mageuzi ya kisiasa

DAR ES SALAAM: KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesema suala la kushiriki au kutoshiriki Uchaguzi Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Kada CCM asifu mafanikio miaka 4 ya Rais Samia

ALIYEKUWA Kamanda wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na kada wa chama hicho, Justine Nyari amesema Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Wasira awasili Shinyanga kuanza ziara

SHINYANGA; MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewasili mkoani Shinyanga kuanza ziara ya kikazi ya…

Soma Zaidi »

Samia akutana na mjumbe wa rais wa DR Congo

Soma Zaidi »

JK ateta na Rais wa Algeria

ALGERIA: RAIS Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amekutana na Rais wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune kwa mazungumzo kuhusu uhusiano wa muda…

Soma Zaidi »

Wasira aonya rushwa wagombea CCM

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina taarifa baadhi ya wanachama wanaotaka ubunge wameanza kukiuka maadili kwa kutoa rushwa. Makamu Mwenyekiti…

Soma Zaidi »

Georgia Mtikila; Kinara wa demokrasia ‘asiyevuma’

‘MKE wa Mchungaji Mtikila’ ni jina linalorahisisha wengi (wafuatiliaji wa masuala ya siasa na demokrasia) kumfahamu kama si kumkumbuka. Lakini…

Soma Zaidi »
Back to top button