Siasa

 Kampeni zimeipa CCM ushindi – Nsokolo

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Kigoma kimesema kuwa kampeni na mwenendo wa uchaguzi uliofanywa na chama hicho kupitia viongozi wake…

Soma Zaidi »

Wananchi Morogoro wahimizwa kushiriki uchaguzi mitaa

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Morogoro imewaomba wananchi waliojiandikisha kushiriki kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kujitokeza…

Soma Zaidi »

Makalla: CCM itashinda kwa kishindo

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, Amos Makalla amesema chama hicho…

Soma Zaidi »

Wasimamizi uchaguzi mitaa waapishwa Mikindani

WASIMAMIZI na wasimamizi wasaidizi 250 wa vituo mbalimbali vya kupigia kura wameapishwa katika Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara kuelekea…

Soma Zaidi »

CCM yawakaribisha wanachama wapya

DAR ES SALAAM: KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (CCM- NEC), CPA Amos Makalla amesema CCM inaendelea…

Soma Zaidi »

Wanavyuo watakiwa kujitokeza uchaguzi mitaa

KUELEKEA uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27,2024, Mkuu wa Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara, Abdallah Mwaipaya amewataka…

Soma Zaidi »

Makalla: CCM hatucheki na mtu katika kushika dola

KATIBU wa Halmashauri Kuu Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema…

Soma Zaidi »

Wenye ulemavu watakiwa kupiga kura

MBUNGE wa Viti Maalum anayewakilisha watu wenye ulemavu Tanzania, Stella Ikupa amewataka watu wenye ulemavu kujitokeza kupiga kura katika uchaguzi…

Soma Zaidi »

‘Chadema itasimamia mikopo ya asilimia 10’

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi amesema wananchi wachague viongozi wanaotokana na chama…

Soma Zaidi »

ACT kufuta wasaliti, yataja vipaumbele 10

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kita wafuta uanachama wenyeviti wa mitaa na vijiji watakaokwenda kinyume na vipaumbele baada ya kuchaguliwa katika…

Soma Zaidi »
Back to top button