Siasa

‘Viongozi watimize majukumu yao’

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewaomba viongozi wa kuteuliwa na kuchaguliwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Mradi EBARR wafikia asilimia 95 Zanzibar

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu katika mazungumzo bungeni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum) George Mkuchika, wakati wa kikao…

Soma Zaidi »

CCM: Wagombea uchaguzi mitaa msibweteke

DAR ES SALAAM: CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimewataka wagombea wateuliwa katika nafasi ya wenyeviti uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

 Tanzania, China kuwanoa wakunga

TANZANIA na China zimedhamiria kuendeleza ushirikiano wa kuwanoa wakunga ili wakasaidie kuokoa  wanawake wajawazito  vijijini kujifungua salama. Hayo yamesemwa Dar…

Soma Zaidi »

Vigogo ACT Wazalendo wakutana makao makuu

KAMATI ya Uongozi ya Chama cha ACT-Wazalendo imekutana leo katika Ukumbi wa Juma Duni Haji ulioko katika Jengo la Maalim…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu azungumza na wabunge

Soma Zaidi »

Serikali kuimarisha umeme kwenye vitongoji

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali inatarajia kuanzisha mradi mpya wa upelekaji umeme katika vitongoji utakaohusisha ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Tanzania, Urusi kuimarisha uchumi

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Urusi wamesaini vipengele muhimu vya makubaliano ya mfumo unaolenga…

Soma Zaidi »

Tanzania, Uturuki wajivunia diplomasia

WAKATI Jamhuri ya Uturuki ikiadhimisha miaka 101 ya taifa hilo, Tanzania inajivunia uhusiano wa kidiplomasia uliopo baina yao katika maeneo…

Soma Zaidi »
Back to top button