Siasa

‘Tutaendelea kuelimisha kanuni mpya ya kikokotoo’

SERIKALI imesema inaendelea na mpango wa kuwaelimisha wananchi hususani waajiri na wanachama wa Mifuko ya Pensheni wakiwemo wastaafu kuhusu faida…

Soma Zaidi »

Siwa Mkurugenzi mpya usalama wa taifa

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemteua  Balozi Ali Idd Siwa kuwa Mkurugenzi Mpya wa Usalama…

Soma Zaidi »

Vijana 260 kujifunza kilimo Israel

SERIKALI ya Tanzania kwa kushirikiana na Israel wameendelea na jitihada za kukuza ujuzi kwa vijana kwenye sekta ya kilimo, ambapo…

Soma Zaidi »

Tarura yapongezwa

KAMATI ya Kudumu ya Bunge, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI)i imeupongeza uongozi wa Wakala ya Barabara za Vijijini…

Soma Zaidi »

Sombi akemea wanaotusi viongozi

MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Rehema Sombi, amekemea tabia ya  baadhi ya watu kuwa…

Soma Zaidi »

Serikali kufanyia kazi mapendekezo ustawi wa demokrasia

DAR ES SALAAM; Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kudumisha demokrasia…

Soma Zaidi »

Kinana: Uhuru bila mipaka ni uwendawazimu

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema ingawa nchi ina uhuru mkubwa wa kusema na kutoa maoni,…

Soma Zaidi »

Rais wa Indonesia kutembelea Tanzania

RAIS wa Indonesia, Joko Widodo atakuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania kuanzia Agosti 21 hadi Agosti 22,2023 na…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Tanzania watunukiwa kusoma China

SERIKALI ya China imewatunuku wanafunzi 46 wa Kitanzania ufadhili wa masomo na wanafunzi wengine 114 wameshinda ufadhili wa programu ya…

Soma Zaidi »

Wabunge CCM wanaokacha vikao Iringa waonywa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa kimewatolea uvivu wawakilishi wake wa wananchi wanaokacha kushiriki vikao mbalimbali vya chama hicho…

Soma Zaidi »
Back to top button