Siasa

Rais Hungary kuwasili Tanzania leo

RAIS wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kuwasili leo na kufanya ziara yake nchini Tanzania kuanzia leo Julai 17 mpaka Julai…

Soma Zaidi »

Vyama vya siasa 18 vyaomba usajili

MSAJILI wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi amesema vyama vipya vya siasa 18 vimeomba usajili ambapo utaanza kutekelezwa baada…

Soma Zaidi »

Mkulima Ihemi amkamata Kakakuona

MKULIMA wa kijiji cha Ihemi wilayani Iringa Asajile Mwanjala juzi amemkamata mnyama aina ya Kakakuona anayeaminika kufanya utabiri wa mambo…

Soma Zaidi »

Rais Samia mwenyeji mkutano wakuu wa nchi Afrika

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu…

Soma Zaidi »

China, Tanzania kuimarisha ulinzi

SERIKALI ya Tanzania na Jamhuri ya Watu wa China zitaendelea kushirikiana kupambana na vitisho vyote vya usalama katika kuimalisha ulinzi…

Soma Zaidi »

Maadhimisho Miaka 96 ya Jeshi la Ukombozi China

LEO Jamhuri ya Watu wa China inaadhimisha miaka 96 ya Jeshi la Ukombozi, sherehe zinazofanyika Ubalozi wa China jijini Dar…

Soma Zaidi »

CCM yaazimia mambo 3 uwekezaji bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa maazimio matatu katika uwekezaji na uendeshaji wa bandari. Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) ilikutana…

Soma Zaidi »

Tulia azidi kung’ara mbio Urais mabunge duniani

WABUNGE wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wamempitisha Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia…

Soma Zaidi »

Tanzania, Malawi kuimarisha ushirikiano

RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Malawi kwa kuwa nchi hizo ni ndugu wa damu.…

Soma Zaidi »

Wapinzani wamsifu Samia kuunda Wizara ya Mipango

VIONGOZI na wanasiasa wa vyama vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kubadili muundo wa wizara mbili na kuunda…

Soma Zaidi »
Back to top button