Siasa

Bunge latoa maazimio 14 kunusuru mashirika ya umma

Bunge limetoa maazimio 14 kwa lengo la kuongeza uwajibikaji katika usimamizi wa fedha za umma kutokana na changamoto zilizoibuliwa katika…

Soma Zaidi »

Rais Samia ameandika historia uwanja wa kimataifa

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya ziara rasmi  katika Jamhuri ya Watu wa China. Rais Samia amealikwa rasmi na Rais…

Soma Zaidi »

Gharama uunganishaji umeme kutolewa baada ya utambuzi

SERIKALI inaendelea na utambuzi wa maeneo na wananchi wanaoishi kata za mjini zenye sura ya vijiji, ili iweze kupanga gharama…

Soma Zaidi »

Wizara kutathmini madaktari bingwa hospitali za mikoa

WIZARA ya Afya itafanya tathmini kwenye hospitali za rufani za mikoa kutokana na kuwa na idadi kubwa ya madaktari bingwa…

Soma Zaidi »

Minara 2,600 kumaliza tatizo la mawasiliano

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amelieleza Bunge kuwa sasa serikali ipo kwenye mchakato wa kutafuta…

Soma Zaidi »

Waziri Kairuki aeleza vipaumbele 5 vya TAMISEMI bungeni

TANGU ateuliwe kuwa mbunge na hatimaye Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Angelah…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu awasilisha ripoti ya moto Kilimanjaro, atoa mkakati

Waziri MKuu amesema kuwa zoezi la kuzima moto uliozuka katika hifadhi ya Mlima Kilimajaro limefanikiwa kwa kiasi kikubwa huku akishukuru…

Soma Zaidi »

Serikali yasitisha zoezi la utambuzi mifugo

SERIKALI imesitisha zoezi la kufanya utambuzi wa mifugo kwa kutumia hereni za kieletroniki kipindi cha miezi mitatu kwa lengo la…

Soma Zaidi »

Katibu Mkuu CCM, Balozi wa Cuba wateta Dar

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) na Chama Cha Kikomunisti cha Cuba (CPC), vimekubaliana, pamoja na masuala mengine, kuzihimiza serikali wanazoziongoza katika…

Soma Zaidi »

Wahitimu JKT wapewa kipaumbele ajira

KAMATI maalum inayozishirikisha sekta mbalimbali za uzalishaji imeundwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa wahitimu wanaomaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga…

Soma Zaidi »
Back to top button