Siasa

Mwarobaini tatizo la umeme watajwa

SERIKALI imetenga jumla ya Shilingi bilioni 250 kujenga Gridi ya Taifa kutoka Songea –Tunduru – hadi Masasi katika kipindi cha…

Soma Zaidi »

Serikali yatumia Sh bil 17 waathirika mabomu Mbagala

SERIKALI imelipa kiasi cha Shilingi bilioni 17.46 kwa waathirika wa mlipuko mabomu yaliyotokea katika Kambi ya JWTZ Mbagala, Dar es…

Soma Zaidi »

Serikali yaeleza umuhimu ziara ya Samia China

SERIKALI imesema ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini China kuanzia Novemba 2 mwaka huu ni heshima inayoonesha uhusiano mzuri…

Soma Zaidi »

Utezi wagombea CCM  ngazi ya mikoa waiva

HATMA ya wanaowania nafasi za uongozi ngazi ya Mkoa katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) itajulikana kesho Septemba 28, 2022. Taarifa…

Soma Zaidi »

Korea yaipatia Tanzania mkopo wa Sh bil.310

SERIKALI ya Jamhuri ya Korea, imeipatia Tanzania mkopo wa gharama nafuu wa Sh bilioni 310 kwa ajili ya upanuzi wa…

Soma Zaidi »

Samia ampongeza Rais wa China

RAIS Samia Suluhu Hassan amempongeza Rais wa China, Xi Jinping kwa kuchaguliwa tena kuendelea kuwa Katibu Mkuu wa Kamati Kuu…

Soma Zaidi »

Uwepo mjadala kitaifa kabla ya Katiba mpya

KIKOSI Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kimependekeza kuwepo…

Soma Zaidi »

‘Matokeo urais yahojiwe mahakama ya juu’

IMEPENDEKEZWA matokeo ya uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na utendaji wa Tume ya Taifa ya…

Soma Zaidi »

Vikosi kazi zaidi kuundwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi yenye…

Soma Zaidi »

Wapendekeza mikutano ya hadhara iruhusiwe

KIKOSI Kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kimetoa mapendekezo…

Soma Zaidi »
Back to top button