Siasa

Dk Mpango ahimiza uwekezaji zaidi elimu

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema mataifa yanapaswa kuongeza uwekezaji katika sekta ya elimu ili kuhakikisha watoto wanapata elimu…

Soma Zaidi »

Kongamano demokrasia vyama vingi kesho Dar

MDAHALO wa kumuenzi Mwalimu Julius Nyerere kujadili mfumo wa demokrasia ya vyama vingi unatarajiwa kufanyika kesho jijini Dar es Salaam.…

Soma Zaidi »

Dk Mpango ataka wanaoishi Marekani wafuate sheria

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango, amewaasa Watanzania waishio Marekani na nchi nyingine duniani, kuishi kwa kufuata sheria za nchi…

Soma Zaidi »

‘Msisitizo diplomasia ya uchumi, upatikanaji masoko’

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali kuweka msisitizo katika utekelezaji wa diplomasia ya uchumi na…

Soma Zaidi »

Rais Samia awasili London kushiriki maziko ya Malkia Elizabeth II

RAIS Samia Suluhu Hassan amewasili jijini London, Uingereza kwa ajili ya kushiriki shughuli rasmi ya msiba wa Malkia Elizabeth II…

Soma Zaidi »

Balozi wa Rwanda ashiriki usafi Arusha

BALOZI wa Rwanda nchini Tanzania, Meja Jenerali, Charles Karamba, amewataka wananchi wa Jiji la Arusha kujenga tabia ya kufanya usafi…

Soma Zaidi »

Watanzania wanaosoma China waonywa ulevi, ‘unga’

UBALOZI wa Tanzania nchini China, umewataarifu wanafunzi wote wa Tanzania wanaosoma nchini humo kuwa mipaka iko wazi na wanaweza kurejea…

Soma Zaidi »

Vigogo Chadema waliomkataa Mwenyekiti Katavi wabanwa

UONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Mpanda, umewataka viongozi wa jumuiya za chama hicho wilayani humo,…

Soma Zaidi »

Kinana ataka viongozi CCM kujitambulisha maeneo yao

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).  Abdulrahman Kinana, amewahamasisha viongozi wa chama hicho kwa ngazi mbalimbali, kujenga utamaduni wa…

Soma Zaidi »

Bunge lapitisha muswada usimamizi rasilimali za maji

BUNGE leo limepitisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji ya mwaka 2022. Akizungumza wakati akifanya…

Soma Zaidi »
Back to top button