Dini

Kibaha kujengwa Bakwata

WILAYA ya Kibaha iko mbioni kujengewa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) baada ya mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini, Silvestry…

Soma Zaidi »

IDDEF wakabidhi ng’ombe, mbuzi Sikukuu Eid al-Adha

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amekabidhiwa jumla ya ngombe 500 na mbuzi 1000 na Jumuiya ya IDDEF ya…

Soma Zaidi »

Mahujaji waanza Hija Saudi Arabia

IBADA ya Hija ya kila mwaka imeanza huku umati wa Waislamu waliovalia mavazi meupe wakizunguka Kaaba, jengo lenye kitovu cha…

Soma Zaidi »

Bakwata yajenga zahanati 120

MUFTI wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ali ametimiza miaka minane ya kuongoza Waislamu huku akijivunia maendeleo aliyofanikisha yakiwemo ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Waumini waomba kituo cha yatima kisiuzwe

WAUMINI wa Msikiti wa Ijumaa wameiomba Serikali iwasaidie kuzuia uuzaji wa kituo cha kulea watoto yatima cha Islamic Yatima Foundation…

Soma Zaidi »

Taasisi ya Ansarullah Tanzania yaadhimisha siku ya Uhalifa

TAASISI ya Kiislam ya Majlis Ansarullah leo imeadhimisha siku ya Uhalifa ‘uongozi’ duniani katika ukumbi wa mikutano wa Masjid Salaam…

Soma Zaidi »

Iran yanyonga wawili kwa kukufuru

Iran imewanyonga wanaume wawili waliopatikana na hatia ya “kuchoma Quran” na “kumtusi Mtume wa Uislamu,” imesema mahakama ya nchi hiyo.…

Soma Zaidi »

Papa amfuta kazi Padri mwenye mtoto

PAPA Francis amemfukuza kasisi mzaliwa wa Rwanda ambaye alikuwa akifanya kazi kwa takriban miongo mitatu kama kasisi kaskazini mwa Ufaransa,…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini waombea wanafunzi kidato cha sita

VIONGOZI mbalimbali kutoka madhehebu ya dini zote wamefanya maombi maalum ya kuombea wanafunzi wanaofanya mtihani wa kidato cha sita ,maombi…

Soma Zaidi »

Mwenyekiti, wajumbe Tume ya Maboresho Bakwata wajiuzulu

UONGOZI wa Tume ya Maboresho Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) makao makuu, umetangaza kujiuzulu. Taarifa iliyotolewa jana na aliyekuwa…

Soma Zaidi »
Back to top button