Dini

Serikali, madhehebu ya dini kushirikiana maendeleo

SERIKALI imesema itaendelea kushirikiana na madhehebu ya dini katika kuwaletea wananchi maendeleo. Akizungumza leo wilayani Tandahimba mkoani Mtwara wakati wa…

Soma Zaidi »

Al Ameen Foundation yasaidia wenye ulemavu

DAR ES SALAAM; TAASISI  ya Al  Ameen Foundation yenye makao makuu Kijitonyama, Dar es Salaam imetoa msaada wa vitimwendo 50…

Soma Zaidi »

Askofu Mameo aisifu Afrika kutoa marais wanawake

ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Morogoro , Jacob Ole Mameo  amewataka wanawake wa Umoja…

Soma Zaidi »

MIL 272/- kumaliza ujenzi ofisi jimbo katoliki Bunda

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameshiriki Misa Takatifu katika Parokia ya Mtakatifu Paulo na kuongoza harambee ya kumalizia ujenzi wa…

Soma Zaidi »

Waahmadiyya wasisitiza amani, maadili

PAMOJA na kutokuwa na malengo yoyote ya kisiasa wala ya kibiashara, Jumuiya ya Waislamu Waahmadiyya inawataka waumini wake kuwa raia…

Soma Zaidi »

Askofu Mdegela ahofia ongezeko la makanisa Iringa

ASKOFU Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa, Profesa Owdenburg Mdegela, amemuomba Mkuu wa Wilaya…

Soma Zaidi »

Mwimbaji wa Injili Rwanda kutumbuiza Tanzania

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili kutokea nchini Rwanda, Israel Mboni anayetamba na wimbo wake wa ‘Nina Siri’ ametua nchini tayari…

Soma Zaidi »

Serikali kuendelea kuimarisha uhuru wa kuabudu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi amesema serikali itaendelea kuimarisha uhuru wa kuabudu…

Soma Zaidi »

Vilio vyatawala waliokufa ajalini Same wakiagwa

MAMIA ya watu wamejitokeza kuaga miili ya wanakwaya watano wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania(KKKT) Usharika wa Wazo Hill,…

Soma Zaidi »

Mchechu achangisha mil 117.8/- ujenzi wa kanisa

KILIMANJARO : Msajili wa Hazina Nehemiah Mchechu ameendesha harambe iliyowezesha kuchangisha Sh milioni 117.8 kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button