Dodoma

TSC yapongezwa mfumo kupokea malalamiko

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Angellah Kaiuruki amezindua Mfumo wa Kielektroniki wa Kupokea Malalamiko ya walimu kwa muda…

Soma Zaidi »

Samia apongeza waandishi ujenzi wa nchi

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapongeza waandishi wa habari kwa kazi nzuri ya kujenga nchi. Alitoa pongezi hizo jana alipozungumza nao…

Soma Zaidi »

Chanzo ajali iliyoua 12 Dodoma chatajwa

WATU 12 wamefariki dunia na wengine 63 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Februari 9,…

Soma Zaidi »

NSSF yatumia bil 2.6/- kulipa wa vyeti feki

MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) imetumia Sh bilioni 2.6 kuwalipa watumishi 183 waliofutiwa ajira kwa kukutwa na…

Soma Zaidi »

Serikali yakamilisha mkopo wa magari 12 ya zimamoto

SERIKALI imesema imekamilisha hatua zote za mkopo wa Euro milioni 4.9 kutoka nchini Austria kwa ajili ya ununuzi wa magari…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa Sh milioni 540 ujenzi wa majosho

SERIKALI imetoa fedha Sh milioni 540 kwa ajili ya ujenzi wa majosho mbalimbali nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri…

Soma Zaidi »

Serikali kushughulika na waharibifu wa mazingira

SERIKALI imesema itahakikisha inawachukulia hatua waharibifu wa mazingira wanaofanya shughuli za uchomaji wa misitu, ukataji miti, uharibifu wa maeneo ya…

Soma Zaidi »

Muda wakwamisha mabadiliko ya sheria kupelekwa bungeni

SERIKALI haitapeleka bungeni mabadiliko ya sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma ya Habari Namba 12 ya Mwaka 2016 ambayo ilipangwa…

Soma Zaidi »

Muswada huduma za habari wasogezwa mbele

MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali imesogeze mbele uwasilishaji wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari ambao…

Soma Zaidi »

Serikali kuondoa shida ya maji machafu Mtwara

SERIKALI imesema inashughulikia changamoto ya maji kutoka machafu kwa baadhi ya mabomba yaliyopo Manispaa ya Mtwara Mikindani ili wananchi waendelee…

Soma Zaidi »
Back to top button