Dodoma

TRA yataka somo la kodi mitaala ya elimu

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), wamekutana na kamati ya Kitaifa ya uboreshaji wa Mitaala  inayoongozwa na Prof.Makenya Maboko jijini Dodoma…

Soma Zaidi »

Mbatia avuliwa uanachama NCCR Mageuzi

MKUTANO Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, umemvua uongozi na kumtimua uanachama, aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, James Mbatia,…

Soma Zaidi »

Serikali: Ujenzi bomba la mafuta umezingatia sheria zote

SERIKALI imesema inasimamia kikamilifu sekta ya nishati, ikiwemo kuendelea kutekeleza mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika…

Soma Zaidi »

Wakulima 956,920 wasajiliwa mbolea ya ruzuku

WAKULIMA 956,920 wamesajiliwa kwa ajili ya kupata mbolea ya ruzuku, ambapo jumla ya tani 60, 882 za mbolea zimenunuliwa na…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tuna utoshelevu wa chakula asilimia 115

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema nchi ina kiwango cha utoshelevu wa chakula kwa asilimia 115. Ametoa kauli hiyo leo Septemba…

Soma Zaidi »

Watanzania 33,000 hufariki kwa moshi wa kupikia

WASTANI wa Watanzania  33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia. Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana…

Soma Zaidi »

Wahandisi watakiwa kuchangamkia fursa za miradi

SERIKALI imeahidi kuendeleza, kuibua, kutambua, kukuza na kuendeleza ubunifu unaofanywa na wahandisi wazawa kwa maendeleo endelevu ya Taifa. Waziri wa…

Soma Zaidi »

TARURA: Ujenzi kwa teknolojia ya mawe huokoa gharama

WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), imesema ujenzi wa barabara na madaraja kwa kutumia teknolojia ya mawe na…

Soma Zaidi »

Uwindaji wa kienyeji wasubiri kanuni

WIZARA ya Maliasili na Utalii imewatoa wasiwasi Watanzania kuwa vibali kwa ajili ya uwindaji wa kienyeji vitatolewa baada ya mchakato…

Soma Zaidi »

Ataka utaratibu kuvuna mazao ya misitu uzingatiwe

WANANCHI wametakiwa kufuata sheria na kanuni za uvunaji wa mazao ya misitu na iwapo watafanyiwa jambo lolote kinyume na utaratibu…

Soma Zaidi »
Back to top button