Dodoma

Rais Samia ashusha mzigo kwa majaji

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Hamis Juma, amesema uteuzi wa majaji 22 wa Mahakama Kuu uliofanywa na Rais Samia…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa maelekezo magereza

RAIS Samia Suluhu Hassan amemtaka Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, SACP Mzee Ramadhani Nyamka kuhakikisha haki katika usimamizi wa…

Soma Zaidi »

Jaji Mku: Mchakato kuwapata majaji ni huru

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema mchakato wa kuwapata majaji nchini ni huru na wazi kwa kuwa…

Soma Zaidi »

Wajivunia mwitikio wa sensa Kongwa

ZIKIWA zimebaki siku tatu kabla ya kumalizika kwa Sensa ya Watu na Makazi, Diwani wa Kata ya Chamkoroma, Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Serikali yatenga bil 12/- Tazara kuongeza ufanisi

SERIKALI imesema kwa mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya Sh bilioni 12 kwa ajili ya Mamlaka ya Reli ya…

Soma Zaidi »

Warejesha mahari kuokoa maisha ya watoto

MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya ,amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri…

Soma Zaidi »

Wananchi waondolewa ajali ya lori la mafuta kongwa

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remedius Mwema Emmanuel amesema mamlaka wilayani humo zimefanikiwa kuondoa umati wa wananchi uliokuwa…

Soma Zaidi »

Simbachawene anyoosha kiburi cha mwanaye

WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene ameliagiza Jeshi la Polisi kumchukulia hatua…

Soma Zaidi »

Ukiona changamoto siku ya sensa, piga simu hii

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amefanya ubunifu wa kuzindua namba ya dharura kwa wananchi wa mkoa huo ili…

Soma Zaidi »

Gwajima avipa vituo vya kulelea watoto utaratibu

SERIKALI imewaagiza wamiliki na waendeshaji wa vituo vya kulea watoto nchini kote kuhakikisha kila mtoto anayepokelewa anaandaliwa mpango wa huduma…

Soma Zaidi »
Back to top button