Kanda

RC Kunenge ‘aifagilia’ Kibaha ukusanyaji mapato

MKUU wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge, ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha kwa kuongoza kimapato kwa mwaka 2022/2023. Kunenge…

Soma Zaidi »

Ujenzi Barabara ya Mnivata-Newala-Masasi waiva

SERIKALI imesaini mikataba miwili na Kampuni Mbili za Kichina kujenga barabara ya Kilomita 160 ya Mnivata Newala-Masasi mkoani Mtwara. Ujenzi…

Soma Zaidi »

Arusha wasitisha vibali uhamisho walimu

KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Misaille Mussa, amesitisha vibali vya uhamisho wa walimu kwa kisingizio cha mazingira mabovu, ili kuweza…

Soma Zaidi »

Bashungwa awapa somo wahitimu mafunzo ya ulinzi

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Innocent Bashungwa  amewataka wahitimu 65 wa kozi ya stashahada ya kawaida…

Soma Zaidi »

FETA yatakiwa kutanua wigo wa mashirikiano katika kutoa mafunzo

Wakala ya Elimu na Mafunzo ya Uvuvi (FETA) imetakiwa kuongeza wigo wa mashirikiano katika kutoe elimu ya uvuvi. Hayo yamesemwa…

Soma Zaidi »

Ajali yaua watano, yajeruhi kumi

WATU watano wamepoteza maisha na wengine 10 wamejeruhiwa baada ya basi dogo aina ya Toyota Coaster kugongana uso kwa uso…

Soma Zaidi »

Kampuni za ununuzi wa mbegu za pamba lawamani

SERIKALI wilayani Geita imesikitishwa na kampuni za ununuzi wa mbegu za pamba kushindwa kutekeleza maazimio waliyokubalina ikiwemo kuanzisha mashamba darasa.…

Soma Zaidi »

‘Zingatieni kiapo cha uaminifu kutunza siri’

RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) na makatibu mahsusi (TAPSEA) kuzingatia kiapo cha uaminifu katika kutunza…

Soma Zaidi »

RC Kagera ataka watendaji washirikiane

MKUU mpya wa Mkoa wa Kagera, Fatuma Mwasa amefanya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa huo Albert Chalamila…

Soma Zaidi »

Takukuru yagusa miradi 5 Wilaya Tanganyika

TAKUKURU Mkoa wa Katavi imebaini mapungufu mbalimbali ikiwemo usimamizi mbovu kwenye ujenzi, ukiukwaji wa mikataba na ucheleweshwaji katika kukamilisha miradi…

Soma Zaidi »
Back to top button