Kanda

Sh Mil 800 kujenga shule ya mfano Geita

SERIKALI imetoa kiasi cha Sh milioni 800 kwa ajili ya kujenga shule mpya ya msingi katika mtaa wa Mwatulole, Kata…

Soma Zaidi »

RC Kagera ataka ufanisi wakandarasi wa maji

MKUU wa mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wakandarasi walioaminiwa na serikali kutekeleza miradi ya maji kuhakikisha wanatekeleza miradi hiyo…

Soma Zaidi »

Mawaziri watatu wakutana kumaliza mgogoro hifadhini

SERIKALI imewataka wananchi wa vijiji saba katika Wilaya ya Tarime Vijijini kufuata sheria za mipaka na kutoendeleza shughuli za aina…

Soma Zaidi »

Rais Samia apuliza kipenga Katiba mpya

RAIS wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Mutungi, kuitisha kikao maalum cha Baraza…

Soma Zaidi »

RC ataka usanifu jengo la Machinga urudiwe

Mkuu wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali, Suleiman Mzee amesusa kuweka jiwe la msingi katika ofisi za Machinga Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Mzumbe watakiwa kuharakisha jambo lao Tanga

UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, umetakiwa kuharakisha utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa kampasi ya chuo hicho katika Wilaya…

Soma Zaidi »

Vijana 295 wahitimu VETA Mwanza

VIJANA 295 kutoka Mwanza wamehitimu mafunzo ya ufundi katika fani mbalimbali Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) yaliyofanyika kwa miezi sita…

Soma Zaidi »

Maazimio 30 Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

MAAZIMIO 30 yamefikiwa kati ya serikali na wadau wa vyombo vya habari, katika kilele cha maadhimisho ya miaka 30 ya…

Soma Zaidi »

RC Geita apiga marufuku uhamisho holela watumishi

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martin Shigella amepiga marufuku uhamisho holela wa watumishi pasipo kuzingatia maslahi ya uhamisho, kwani utaratibu…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuwapa mikataba ya ajira watumishi

WAAJIRI nchini wametakiwa kutoa mikataba ya ajira sambamba na stahiki nyingine kwa watumishi wao kama ambavyo, sheria za kazi zinavyoelekeza.…

Soma Zaidi »
Back to top button