Kanda

Wapewa maelekezo matumizi Bandari ya Karema 

MAANDALIZI ya kuanza kutumika kwa Bandari ya Karema, iliyopo wilayani Tanganyika, Mkoa Katavi yamekamilika kwa asilimia 100. Kutokana na hali…

Soma Zaidi »

Tanesco Kagera watakiwa kutoa elimu vifaa bora vya umeme

MKUU wa Mkoa wa Kagera,  Albert Chalamila ametoa wito kwa Shirika la Umeme nchini (Tanesco), mkoani Kagera kushirikiana na  taasisi…

Soma Zaidi »

Mwanafunzi amuua mwenzake kwa kichapo Geita

MWANAFUNZI wa darasa la pili katika shule ya msingi Uwanja iliyopo kata ya Nyankumbu mjini Geita, Jovina Simon (10) amefariki…

Soma Zaidi »

Bashungwa amsimamisha kazi DED Muheza

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ameagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Bashungwa aingilia kati malalamiko stendi ya Magufuli

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Makalla: zaidi ya asilimia 94 ya wakazi DAR wamehesabiwa

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema Mkoa huo umefanya vizuri kwenye zoezi la Sensa ya watu…

Soma Zaidi »

Wanahabari watakiwa wasichonganishe serikali na wananchi

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kutumia mafunzo ya umahiri wa uandishi wa habari wanayoyapata kuleta mchango wa maendeleo na ustawi…

Soma Zaidi »

Wataka gongo idhibitiwe inachochea ubakaji

WANAWAKE katika Kata ya Mamire wilayani Babati mkoani Manyara wamesema vitendo vya ubakaji kwenye maeneo yao vimekuwa vikisababishwa na matumizi…

Soma Zaidi »

Sensa muhimu katika katika kukuza uchumi

HATUA ya serikali kuimarisha afya ya mama na mtoto na kupunguza idadi ya vifo vya uzazi, kuongeza ujenzi wa zahanati,…

Soma Zaidi »

CCM yataka bodaboda, bajaji zitumie gesi

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka, ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam…

Soma Zaidi »
Back to top button