Maisha ya Vijijini

Karani wa sensa Bunda ajifungua, Rorya mambo mazuri

WAKATI Sensa ya Watu na Makazi ikiendelea vizuri katika Wilaya za Bunda na Rorya mkoani Mara, mmoja wa makarani wa…

Soma Zaidi »

Warejesha mahari kuokoa maisha ya watoto

MTENDAJI wa Kijiji cha Mpwayungu Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, Selemani Kibakaya ,amesema wazazi wawili waliowaoza binti zao wenye umri…

Soma Zaidi »

Karani wa sensa avamiwa Katavi, aporwa kitendea kazi

KARANI wa Sensa Kata ya Majimoto,  Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe, mkoani Katavi, Kenan Kasekwa, amevamiwa usiku wa kuamkia leo…

Soma Zaidi »

Wachinjiwa nyumbu, pundamilia sensa Karatu

JAMII ya Wahadzabe wilayani Karatu, mkoani Arusha, wamechinjiwa pundamilia pamoja na nyumbu, ili wawepo kwenye makazi yao wakati makarani wa…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutunza miche kuleta matokeo chanya

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amekagua mradi wa kitalu cha miche ya miti wenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »

Walimu, wanafunzi watumia choo kimoja Butiama

WALIMU wa Shule Shikizi ya Kijiji cha Nyabange, Kata ya Nyankanga, Wilaya ya Butiama mkoani Mara wanatumia choo kimoja na…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutenga maeneo ya wafugaji

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amezitaka halmashauri na mamlaka za serikali za mikoa kuhakikisha zinatekeleza agizo la Rais…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara wa ndizi Murongo waahidiwa neema

MKUU wa mkoa Kagera, Albert Chalamila, amewahakikishia wafanyabiashara wa ndizi katika soko la Murongo kuwa,  serikali inawaandalia mazingira mazuri ya…

Soma Zaidi »

Nape ataka habari za kufichua maovu

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewataka waandishi wa habari nchini kutumia vyema taaluma yao na…

Soma Zaidi »

Bakwata yahimiza sensa

KATIBU Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Nuhu Mruma amewataka waumini wa dini ya Kiislamu nchini na Watanzania…

Soma Zaidi »
Back to top button