Maisha ya Vijijini

Ushetu wajipanga ukarabati wa barabara

HALMASHAURi ya  Ushetu  wilayani Kahama mkoani Shinyanga,  imetenga jumla ya Sh Millioni 20 katika bajeti ya mwaka 2022/2023  kwa ajili…

Soma Zaidi »

One Acre Fund kuchagiza usambazaji pembejeo za ruzuku

IDADI ya wakulima wanaonufaika na pembejeo zinazosambazwa na Kampuni ya One Acre Fund Tanzania Ltd katika mikoa ya Nyanda za…

Soma Zaidi »

Wachoshwa na mwekezaji, wataka umeme wa Tanesco

WANAKIJIJI wa Malangali Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya umeme wa Tanesco kutokana na wanaoutumia hivi…

Soma Zaidi »

Wanasayansi wabaini mimea ya asili ya ‘kutibu’ pilipili manga

WANASAYANSI wamebaini uwepo wa mimea ya asili inayoweza kudhibiti ugonjwa wa mnyauko na udondoshaji vikonyo vya matunda kwenye zao la…

Soma Zaidi »

Serikali, wadau kupunguza tatizo la ‘watoto wa mitaani’

WIZARA ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu imejipanga kushirikiana na wadau mbalimbali kuhakikisha inapunguza tatizo la watoto…

Soma Zaidi »

Abiria wa New Mv Victoria wahesabiwa

MKUU wa Wilaya ya Nyamagana, Amina Makilagi (pichani) amepongeza wananchi wanaotoa ushirikiano kwa makarani wa sensa ya watu na makazi.…

Soma Zaidi »

‘Tumieni simu majukumu yakiwabana’

MKUU wa Mkoa wa Iringa, Halima Dendego amewataka wananchi watumie simu kuwasiliana na makarani wa sensa endapo itatokea majukumu yao…

Soma Zaidi »

Tanga sensa ni shwari

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omar Mgumba amesema hadi sasa sensa ya watu na makazi inaendelea vizuri mkoani kwake na…

Soma Zaidi »

Hamis adaiwa kumuua baba yake akizuiwa ‘kumbemenda’ mtoto 

Jeshi la Polisi mkoani Mtwara linamshikilia Hamis Athumani (23) mkazi wa Chigungwe wilayani Tandahimba kwa tuhuma za kumuua baba yake…

Soma Zaidi »

Mtaka awapa angalizo ambao hawajahesabiwa

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Antony Mtaka (pichani) ametoa mwito kwa wananchi ambao hawajahesabiwa watumie siku zilizobaki kwa faida yao…

Soma Zaidi »
Back to top button