Tanzania

Serikali kutumia ndege kuzuia uvuvi haramu

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika, Karibiani…

Soma Zaidi »

Aomba taulo za kike ziondolewe VAT

SERIKALI imeombwa kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ya asilimia 18 kwenye taulo za kike ili kuwezesha bidhaa hiyo…

Soma Zaidi »

Wananchi Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za kibiashara hasa yanapotokea matamasha na shughuli zinazokusanya watu wengi. Mwenyekiti wa Baraza la…

Soma Zaidi »

Vesterbacka kufungua kituo cha kifinnish

DAR-ES-SALAAM : MWANZILISHI wa Kampuni ya Finest Future, Peter Vesterbacka, ametangaza mpango wa kuanzisha kituo cha kufundisha lugha ya Kifinnish…

Soma Zaidi »

Mati Super Brands wajiandisha kupiga kura

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited, David Mulokozi ameongoza wafanyakazi wa kampuni hiyo…

Soma Zaidi »

Waiomba serikali kujenga uzio shule za serikali

WANANCHI wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha wameiomba serikali kujenga uzio katika shule za bweni za serikali zilizopo wilayani hapa…

Soma Zaidi »

Wapewa elimu kupinga ukatili wa kijinsia

WANAWAKE katika kata ya Vigaeni Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kupinga vitendo vya ukatili vya aina yoyote kwa watoto…

Soma Zaidi »

Makamu wa Pili wa Rais SMZ ahimiza mazoezi

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla ametoa rai kwa wananchi kuwa na…

Soma Zaidi »

DC Mwenda awaita wananchi uchaguzi mitaa

MKUU wa Wilaya ya Iramba mkoani Singida, Suleiman Mwenda amewataka Wananchi wa wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi kushiriki uchaguzi wa…

Soma Zaidi »

Ajali yauwa 12 Mbeya

WATU 12 wamefariki dunia katika ajali ya basi lenye namba za usajili T.282 CXT aina ya Yutong lililokuwa likitokea Mbeya…

Soma Zaidi »
Back to top button