Tanzania

Wahandisi wanawake kazi kwenu

WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema serikali imeweka mazingira wezeshi kutoa fursa kwa wahandisi wanawake kushiriki utekelezaji wa miradi mbalimbali…

Soma Zaidi »

Zanzibar kuweka mkazo zao la mwani

RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inakusudia kuweka mkazo kwenye sekta ya…

Soma Zaidi »

Kamati viongozi wakuu Zanzibar yazuru Nemc

KAMATI ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi inayosimamia ofisi ya viongozi wakuu wa kitaifa Zanzibar imetembelea ofisi za Baraza la…

Soma Zaidi »

Rais Samia apongezwa maono wizara ya kilimo

KITENDO cha Rais Samia Suluhu Hassan kutenga bajeti kupitia Wizara ya Kilimo na kufanya mageuzi kwenye sekta hiyo kwa kuwawezesha…

Soma Zaidi »

Wapewa elimu athari matumizi dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa elimu kinga kwa waumini wa dini…

Soma Zaidi »

Hali tete ongezeko hali mbaya ya hewa

KAIMU Mkurugenzi Mkuu, TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Mabadiliko ya Sayansi ya Hali ya Hewa na…

Soma Zaidi »

Shirika lawakumbuka vijana ujenzi wa taifa

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Vijana Tai Tanzania kwa kushirikiana na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wataendelea kuwezesha vijana wengi…

Soma Zaidi »

Dumisheni amani migogoro haina faida

TANGA : Makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Hemed Suleiman Abdullah amewataka watanzania kulinda na…

Soma Zaidi »

Wananchi Mohoro waanza kugaiwa eneo jipya

SERIKALI imeanza kugawa eneo jipya kwa ajili ya makazi ya wananchi waliokumbwa na mvua za El-Nino katika kata ya Mohoro…

Soma Zaidi »

Mbegu za asili kufanyiwa utafiti

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA), inakusanya mbegu za asili kwa ajili ya kuzihifadhi zisipotee,…

Soma Zaidi »
Back to top button