Tanzania

Ukimwi wapungua Tanga

SERIKALI imesema kiwango cha maambukizi ya Ukimwi Mkoa wa Tanga kimepungua kufikia asilimia 2.9% ukilinganisha na asilimia 4. 4% ya…

Soma Zaidi »

‘Drone’ yarushwa utafiti wa miamba, madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde ameshuhudia jaribio la urushwaji wa ndege nyuki ‘Drone’ angani kwa ajili ya utafiti wa miamba…

Soma Zaidi »

Kiapo wahitimu mitihani ya TNMC

DODOMA: Jumla ya wauguzi na wakunga wapya 2099 waliofaulu Mtihani wa Baraza la Uuguzi na Ukunga (TNMC), uliofanyika 29/12/2023 ili…

Soma Zaidi »

TAMISEMI, COPRA wayajenga

DODOMA: Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Sospeter Mtwale ameongoza kikao kazi kati ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Gharama za vyakula kushuka Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapunguza gharama za vyakula nchini.…

Soma Zaidi »

“Marufuku ving’ora vimulimuli”

JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabani limepiga marufuku magari na pikipiki yoyote inayotumika kwa matumizi ya kawaida kufunga ving’ora,…

Soma Zaidi »

TSN, CRDB zaunganisha nguvu upatikanaji wa habari

DAR ES SALAAM: Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) na Benki ya CRDB zimekubaliana kuendeleza ushirikiano ili kuongeza upatikanaji wa…

Soma Zaidi »

Dk Biteko aipongeza REA umeme vijiji vya Iringa

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko amewasha umeme katika kijiji cha Mkangwe wilayani Mufindi kama pongezi…

Soma Zaidi »

PPRA waendesha semina usimamizi fedha za serikali

MAMLAKA ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA) kwa kushirikiana na mashirika yasiyo ya kiserikali ya Omuk Hub na Africa…

Soma Zaidi »

Vijiji 30 kupatiwa ufumbuzi migongano binadamu, wanayamapori

WANANCHI waliopo katika vijiji 30 vilivyopo katika wilaya tatu za mikoa ya Lindi na Ruvuma watajengewa uwezo wa namna ya…

Soma Zaidi »
Back to top button