Tanzania

Wananchi Musoma Vijijini wanashirikiana kujenga sekondari

MUSOMA, MARA: WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema Wilayani Msoma wanajenga shule ya sekondari yao mpya wakilenga kuongeza…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa tamko, kuhamisha wananchi Ngorongoro

 DODOMA:  Serikali imesema siku chache zijazo itaendelea na awamu ya pili ya shughuli ya kuwahamisha kwa hiari wananchi wa Tarafa…

Soma Zaidi »

Mashirika 16 ya Umma yaunganishwa, manne yafutwa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa nchi, ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Profesa, Kitila Mkumbo amesema Serikali imeridhia na kuelekeza…

Soma Zaidi »

Mchengerwa ataka Mganga Mkuu Kagera kusimamishwa

KAGERA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Serikali za Mitaa Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa amemwagiza katibu Mkuu TAMISEMI…

Soma Zaidi »

Dk Ndumbaro awafunda wahitimu Chuo Kikuu Huria

WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro amewataka wahitimu 42 ya Chuo Kikuu Huria Tanzania kuitumia elimu waliyoipata…

Soma Zaidi »

Ndumbaro: Somo la Kiswahili liwe lazima kwa wanafunzi wa kigeni

RUVUMA: Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kuweka sharti…

Soma Zaidi »

Mitaala mipya, TEC, TET yawanoa walimu

DAR ES SALAAM: BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) kupitia Idara ya Elimu kwa kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania…

Soma Zaidi »

Prof, Nombo atoa neno Taasisi ya Nelson Mandela

ARUSHA: Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa ,Caroline Nombo ameipongeza Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknlojia…

Soma Zaidi »

Kairuki azindua kamati ya kitaifa kuongoa shoroba

DAR ES SALAAM: Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amezindua Kamati ya Kitaifa ya kuongoa shoroba za wanyama pori…

Soma Zaidi »

Viongozi wa kimila wafundwa matokeo ya sensa

DAR ES SALAAM; VIONGOZI wa mila na desturi nchini wametakiwa kushirikiana katika kuwahamasisha Watanzania kutumia takwimu zilizotolewa baada ya Sensa…

Soma Zaidi »
Back to top button