Tanzania

TEA kuboresha miundombinu shule 26 mitaala mipya

MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA), imejipanga kutoa vifaa na kuboresha miundombinu kupitia mfuko wa elimu kwa shule 26 zitakazofanyiwa majaribio…

Soma Zaidi »

Wahitimu kidato cha nne washauriwa kujiunga Veta

WANAFUNZI waliohitimu kidato cha nne wameshauriwa kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi ili wapate ujuzi zaidi kipindi wanachosubiri kuendelea na…

Soma Zaidi »

“Jamii itambue mchango wa TMA”

KATIBU Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Profesa, Godius Kahyarara ameitaka jamii kutambua mafanikio ya Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) kikanda…

Soma Zaidi »

Mambo 7 kukabiliana na mabadiliko tabianchi

WATAALAM wa mabadiliko ya tabianchi na uchumi wamebainisha mambo saba yatakayosaidia kukabiliana na hali ya kushuka kwa pato la taifa…

Soma Zaidi »

Ziara ya Rais Samia India yafungua fursa nchini

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema kutokana na ziara ya…

Soma Zaidi »

Kesi ya wanafamilia kusikilizwa upya Moshi

JAJI wa Mahakama Kuu Kanda ya Moshi,Lilian Mongella ameliagiza Baraza la Ardhi Nyumba na Makazi la mji wa Moshi kusikiliza…

Soma Zaidi »

Ndalichako: serikali itaendelea kushikamana na sekta binafsi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu. Prof, Joyce Ndalichako amesema…

Soma Zaidi »

TPA washinda tuzo mwajiri bora 2023

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imetwaa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023 kwa taasisi za umma hapa…

Soma Zaidi »

Geita kuongeza weledi usimamizi miradi ya maji

MKUU wa Wilaya ya Geita, Cornel Magembe amesema wilaya hiyo imejipanga kupunguza utitiri wa Vyombo vya Watumiaji Maji Ngazi ya…

Soma Zaidi »

Waliohamishwa Ngorongoro haki za binadamu zimezingatiwa

SERIKALI imefafanua kuwa Wananchi wa Ngorongoro wanaohamishwa kutoka eneo la hifadhi kwenda kijiji cha Msomera Handeni Mkoa wa Tanga wamehamishwa…

Soma Zaidi »
Back to top button