Tanzania

Majaliwa: Madiwani Ileje acheni malumbano

SONGWE: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka madiwani na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ileje waache malumbano na badala yake…

Soma Zaidi »

Majaliwa mgeni rasmi kongamano la uhandisi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Kongamano la 32 la Kitaifa la Ubunifu wa Uhandisi litakalofanyika Novemba…

Soma Zaidi »

Bashungwa awakataa Wakandarasi wababaishaji

TANGA: Waziri wa ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), kuhakikisha kuwa wakandarasi wasumbufu na…

Soma Zaidi »

El Nino yaacha athari mikoa mitano

TANGA; Mvua za El Nino zimesababisha athari kubwa katika miundombinu ya barabara na madaraja katika Mikoa ya Dar Es Salaam,…

Soma Zaidi »

Watu 75 wauawa vurugu Sudan Kusini

TAKRIBANI watu 75 wamepoteza maisha ndani ya wiki mbili baada ya kuzuka ghasia kati ya jamii hasimu eneo la Abyei…

Soma Zaidi »

Maofisa feki TRA wanaswa Arusha

WATU watano wanaodaiwa kuwa ni matapeli na kufanikiwa kuchota mamilioni ya pesa kwa kujifanya maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi serikalini miongoni mwa wadaiwa Sh bilioni 7 kodi ya pango

Wafanyakazi wa taasisi za Serikali ni miongoni mwa wapangaji wanaodaiwa kiasi cha Sh bilioni 7. 8 kodi ya pango. Kwa…

Soma Zaidi »

Mwandishi TSN alamba tuzo ya heshima Mtwara

KAMPUNI ya Magazeti ya Serikali (TSN) imeendelea kuheshimishwa na waandishi wake baada ya awamu hii mwandishi Sijawa Omary kushinda tuzo…

Soma Zaidi »

Kuweni na nidhamu – Simbaya

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tanzania Online Media Alliance (TOMA) imezindua Mpango Mkakati wa miaka mitano ijayo kuanzia mwaka 2024…

Soma Zaidi »

Dk Biteko akagua ujenzi wa Majengo ya Wizara Mtumba

DODOMA: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko leo amekagua maendeleo ya ujenzi wa Ofisi za Wizara…

Soma Zaidi »
Back to top button