Tanzania

Kamati ya Bunge Kilimo yapiga marufuku Lumbesa

KAGERA: Kamati ya Bunge ya kudumu ya Biashara Viwanda kilimo na mifugo imebaini kuwepo tatizo la vipimo kwenye maeneo ya…

Soma Zaidi »

Miradi ya elimu ya Sh bilioni 1.2 yakaguliwa

GEITA: MIRADI ya Sh bilioni 1.2 katika sekta ya elimu wilayani Mbogwe imekaguliwa. Miradi hiyo imekaguliwa leo Novemba 22, 2023…

Soma Zaidi »

Bashungwa awashukia Wakandarasi Tanga

TANGA: Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Mohammed Besta kukamilisha usanifu…

Soma Zaidi »

UCSAF yajipanga kufikisha mawasiliano maeneo matano 

DAR ES SALAAM: MFUKO wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) umepanga kufikisha mawasiliano kwenye maeneo matano zikiwamo barabara kuu, maziwa, mbuga,…

Soma Zaidi »

Mikakati utekelezaji wa miradi ya nishati safi ya kupikia

DAR ES SALAAM: Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Dk.Selemani Jafo amekutana na kufanya mazungumzo…

Soma Zaidi »

Ziara ya Samia India yaanza kulipa

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi Mambo ya Nje na Masuala ya Bunge wa India, Shri Muraleedharan amewataka wawekezaji kutoka…

Soma Zaidi »

Kikwete akoshwa na miradi ya TASAF Iringa

IRINGA: Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete ameupongeza uongozi wa Mkoa…

Soma Zaidi »

Wajumbe Baraza la Wawakilishi wazuru TCRA kujifunza

DAR ES SALAAM: WAJUMBE saba wa Kamati ya Mawasiliano, Ardhi na Nishati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar wametembelea makao makuu…

Soma Zaidi »

Jafo asisitiza weledi kwenye utekelezaji wa miradi

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Selemani Jafo amewataka washauri elekezi wa…

Soma Zaidi »

Serikali haijengi shule kujifurahisha – Msonde

RUVUMA; NAIBU Katibu Mkuu Elimu, Ofisi ya Rais-TAMISEMI ,Dk Charles Msonde amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais…

Soma Zaidi »
Back to top button