Tanzania

Chanzo cha moto Kariakoo ni hujuma-Chalamila

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema chanzo cha moto Kariakoo ni hujuma iliyofanywa na wafanyabiashara wenyewe…

Soma Zaidi »

Wananchi kunufaika na mradi wa maji Muheza

WANANCHI takribani 3,700 katika vijiji vya Mbobole na Sakale wilayani Muheza mkoani Tanga watanufaika na mradi wa maji safi wenye…

Soma Zaidi »

Majaji wapigwa msasa Dar

DAR ES SALAAM: MAJAJI kutoka Afrika Mashariki wamekutana leo Oktoba 20, 2023 jijini Dar es salaam kwenye mafunzo yaliyohudhuriwa na…

Soma Zaidi »

Raia wa India kortini kesi ya uhujumu uchumi

SHINYANGA; Kahama. RAIA watatu wa India, leo wamefikishwa Mahakama ya Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, wakituhumiwa makosa mbalimbali ikiwemo uhujumu…

Soma Zaidi »

SBL yafadhali vijana 300 kuinua kilimo

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imeitikia wito wa serikali na wadau wengine unaolenga kuzalisha maafisa ugani wengi zaidi watakaosaidia…

Soma Zaidi »

Rais Samia akutana na Rais wa CAF

RAIS wa Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Patrice Motsepe…

Soma Zaidi »

Wakulima kujiandikisha ugawaji wa mbolea Shinyanga

SERIKALI imeleta tani 3,278 za mbolea mkoani Shinyanga nakuwataka wakulima kujiandikisha na wale ambao walijiandikisha mwaka jana wahuishe majina yao…

Soma Zaidi »

ATCL kudhibiti gharama za uendeshaji

SERIKALI imelitaka Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kuhakikisha linapanga mikakati madhubuti itakaloliwezewesha kukua na kujiendesha kwa tija baada ya uwekezaji…

Soma Zaidi »

Sh Bil 5 zatengwa mradi wa mazingira Tanga

TANGA; Shirika la World vision linatarajia kutumia kiasi cha Sh Bil tano kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa uhahamsishaji…

Soma Zaidi »

Kikao SEAJAA kufanyika Arusha

KIKAO cha Watendaji Wakuu wa Mahakama wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEAJAA) kitafanyika Oktoba 22, 2023 Jijini…

Soma Zaidi »
Back to top button