ARUSHA: RAIS Samia Suluhu Hassan amezitaka mahakama kutoka nchi wanachama 16 za Kusini na Mashariki mwa Afrika kutumia teknolojia za…
Soma Zaidi »Tanzania
UELEWA duni pamoja na kupuuzwa kwa sheria ya mtoto ya mwaka 2009 miongoni mwa wazazi, walezi na taasisi imetajwa kuwa…
Soma Zaidi »KAGERA: Moto ambao chanzo chake hakijajulikana umeteketeza bweni moja katika shule ya sekondari ya wasichana Omumwani Iliyoko kata ya Nshambya…
Soma Zaidi »MRATIBU Mkaazi wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Zlatan Milisic amesema umoja huo unaunga mkono ajenda ya serikali ya kuhamasisha kilimo…
Soma Zaidi »DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amepokea Hati za Utambulisho za…
Soma Zaidi »TABORA: Watu 18 wamefariki dunia, baada ya basi la abiria kugongana uso kwa uso na lori la mafuta wilayani Nzega,…
Soma Zaidi »KAMPENI ya kumtua mama ndoo kichwani ni moja ya mikakati ambayo imesaidia kuongeza upatikanaji wa huduma ya maji safi na…
Soma Zaidi »KIGOMA: Zaidi ya shule 30 katika Wilaya za Kasulu na Kigoma mkoani Kigoma zimeanza kufaidika na mpango wa chakula shuleni…
Soma Zaidi »“MPIRA wa Miguu unaunganisha Dunia na hapa unaunganisha kutokea Tanzania.” amesema Rais wa FIFA, Gianni Infantino. – Kiongozi huyo ametoa…
Soma Zaidi »KATAVI; Wafugaji mkoani Katavi wametakiwa kuachana na ufugaji wa kizamani wa kuhamahama na mifugo, badala yake wafuge kwa kuzingatia mbinu…
Soma Zaidi »









