Tanzania

TSN waja na jarida la Mwangwi wa Ukarimu

DAR ES SALAAM; KAMPUNI  ya Magazeti ya Serikali (TSN) inatarajia kuandaa  toleo la kwanza la Jarida la ‘Mwangwi wa Ukarimu’…

Soma Zaidi »

Aliyekufa ajali ya mti Bukoba kuzikwa leo jioni

KIJANA mkazi wa kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba aliyefariki Baada ya kuangukiwa na mti kutokana na mvua yenye upepo…

Soma Zaidi »

Hali ni Shwari Ziwa Victoria

MWANZA: IMEELEZWA kuwa hali ya ulinzi na usalama ndani ya ziwa Victoria imeendelea kuimarika tofauti na miaka ya nyuma kutokana…

Soma Zaidi »

Kortini wakidaiwa kuisababishia TRA hasara Sh Mil 592

DSM; WAKAZI wanne wa Dar es Salaam, wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo kuisababishia…

Soma Zaidi »

Kilo 310 za bangi zateketezwa Arusha

MAMLAKA ya Kudhibiti  na Kupambana na Dawa za Kulevya Kanda ya Kaskazini imeteketeza bangi viroba vya bangi kavu 237 zikiwa…

Soma Zaidi »

TET, Takukuru wakubaliana maeneo 7

DSM; TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wamesaini hati ya…

Soma Zaidi »

Arusha watakiwa kulipa wenyeviti wa mitaa posho zao

ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemwagiza Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Juma Hamsini kuwalipa posho zao wanazodai…

Soma Zaidi »

Mbaroni akidaiwa kuua watoto mapacha

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Roda Peter (30) mkazi wa Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma ya kuua…

Soma Zaidi »

Adaiwa kuiba mtoto wa mama mwenye matatizo afya ya akili

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Glory Barnabas (23) mkulima na mkazi wa Kata ya Tungi, Manispaa ya…

Soma Zaidi »

Mvua yaleta balaa Bukoba

KAGERA; Bukoba; Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha alfajiri ya leo Oktoba 18, 2023, imesababisha madhara katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »
Back to top button