Tanzania

Mabalozi Norway, Uswisi kushuhudia tamasha Mtwara

MTWARA: MABALOZI wa Norway na Uswisi nchini Tanzania, wanatarajiwa kuhudhuria tamasha la ngome za asili za makabila yanayoishi mkoani Mtwara.…

Soma Zaidi »

Samia anogesha ujenzi vyuo vya Veta

TABORA: VYUO 64 vya Ufundi Stadi (VETA) vitajengwa nchi nzima, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mipango ya serikali kujenga…

Soma Zaidi »

TRA yataka ulipaji kodi kwa wakati

DSM; MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeziagiza taasisi za umma zenye madeni ya kodi kuhakikisha zinalipa ndani ya muda uliowekwa.…

Soma Zaidi »

FAO yaunga mkono mikakati ya kilimo

ITALIA: Rome. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), limeahidi kuunga mkono…

Soma Zaidi »

Watalii kutoka Denmark wajinafasi ofisi za TSN Mwanza

MWANZA; Watalii kutoka nchini Denmark wako jijini Mwanza, Tanzania, kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii wilayani Ukerewe. Kabla ya kuelekea Ukerewe…

Soma Zaidi »

Bajaji za katikati ya jiji kuwekwa alama

DSM: MKUU wa Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, Edward Mpogolo amesema serikali inaandaa utaratibu wa vyombo vyote vya moto…

Soma Zaidi »

Umeme wawanyima usingizi nishati

SINGIDA: NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema watumishi wa wizara hiyo hawapati usingizi tangu walipopewa maagizo na Rais Samia…

Soma Zaidi »

Samia ataka kasi usambazaji maji

SINGIDA: RAIS Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Maji na wakandarasi kuongeza kasi ya usambazaji maji ili kuwafikia wananchi kwa…

Soma Zaidi »

Rais Samia ataka mabadiliko Singida

SINGIDA: RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na wananchi mkoani Singida kuhakikisha wanaendelea na kampeni ya mabadiliko ya tabia watu…

Soma Zaidi »

Serikali na mipango ya kukipaisha Kiswahili

DAR ES SALAAM: KATIKA mwaka ujao wa fedha mkakati wa serikali kwa kushirikiana na Sekta Binafsi kupitia Wizara ya Utamaduni…

Soma Zaidi »
Back to top button