Tanzania

Watu 804 kulipwa Sh bilioni 1.23 kupisha bomba la mafuta

SERIKALI imetumia Sh bilioni 1.23 kwa ajili ya kulipa fidia wananchi 804 waliosaini mikataba ya fidia na kulipwa ili kupisha…

Soma Zaidi »

Mradi wa umeme Kishapu kuanza na Megawati 50

KAIMU Meneja wa Shirika la Umeme (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga, Mhandisi Elias Turnbull amesema mradi wa umeme wa jua uliopo…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Morogoro, Dodoma kupewa elimu stadi za maisha

WANAFUNZI wa shule za sekondari  kutoka Halmashauri za  Wilaya ya Malinyi na Manispaa ya Morogoro  mkoani  Morogoro pamoja na Chamwino, Dodoma wanatarajia kupatiwa…

Soma Zaidi »

Dk Mwigulu achangia Sh milioni 15 shule ya KKKT Iringa

WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Chemba ametoa fedha taslimu Sh milioni 15 kuchangia awamu ya kwanza ya ujenzi wa shule…

Soma Zaidi »

Mfahamu Msemaji Mkuu mpya wa Serikali Tanzania – Mobhare Matinyi

DAR ES SALAAM: Julai 2 mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan alimteua Mwanahabari Mobhare Matinyi kuwa Mkuu wa Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Samia: Dk Salim ni Mtanzania mahiri

DAR ES SALAAM: Rais Samia Suluhu Hassan, amesema tovuti ya Dk. Salim Ahmed Salim, ni hazina kubwa kwa taifa letu,…

Soma Zaidi »

“Mteja atafidiwa pesa taslimu”

BARAZA la Ushauri na Utetezi wa Watumiaji wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA CCC) limezitaka mamlaka na taasisi za…

Soma Zaidi »

Tasac wajidhatiti kudhibiti ajali majini

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wamebainisha kuwa kwa sasa wameimarisha utendaji kwa kuongeza ukaguzi wa mara kwa mara…

Soma Zaidi »

Askari Polisi wanawake watakiwa kuchangamkia fursa za elimu

DAR ES SALAAM: Kamishna wa Polisi Utawala Menejimenti ya rasilimali watu, CP Suzan Kaganda amewataka askari Polisi wanawake kuchangamkia fursa…

Soma Zaidi »

Wawekezaji Rorya waongoza harambee ukarabati madarasa

BAADHI ya wafanyabiashara na wawekezaji katika maeneo mbalimbali wilayani Rorya mkoani Mara wameanzisha mkakati wa kukarabati wa madarasa na upanuzi…

Soma Zaidi »
Back to top button