Tanzania

Waziri Kairuki akutana na Rais wa Utalii Duniani

SAUDIA ARABIA; Riyadh. Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amekutana na kufanya mazungumzo na Rais ambaye pia ni Mkurugenzi…

Soma Zaidi »

Watoto wajitokeza utalii Karibu Kusini

IDADI kubwa ya watoto imejitokeza kushuhudia Maonesho ya Utalii ya Karibu Kusini yanayoshirikisha mikoa 10 ya Kusini hatua iliyopongezwa na…

Soma Zaidi »

Kijue Kiswahili

We proceed with our topic orders and wishes We may conclude from the above examples that: q.whenever the vowel immediately…

Soma Zaidi »

‘Wananchi wamechangia mabadiliko viongozi Mtwara’

MTWARA; SEKRETARIETI ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kusini, imesema panguapangua ya baadhi ya viongozi mkoani Mtwara imesababishwa…

Soma Zaidi »

Dk. Mwinyi akipigia chapuo kilimo hai

RAIS wa Zanzibar Dk Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali inatambua fursa zilizopo katika Kilimo hai kupitia mkakati uliondaliwa na Wizara…

Soma Zaidi »

Nyumba nyingine 5,000 kujengwa Msomera

TANGA; Handeni. Makatibu Wakuu wa wizara za kisekta wamefanya ziara katika Kijiji cha Msomera, Wilaya ya Handeni mkoani Tanga katika…

Soma Zaidi »

Dk Biteko: REA pelekeni huduma vijijini

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Dotto Biteko ameagiza watendaji wa Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kujikita zaidi…

Soma Zaidi »

Arusha kuwa ya kimataifa

KATIKA kuweka jiji la Arusha katika hadhi ya kimataifa jiji hilo sasa litawekwa taa katika barabara zote na kufungwa CCTV…

Soma Zaidi »

Balozi Amina: Sigombei tena urais

MWANASIASA mkongwe visiwani Zanzibar, Balozi Amina Salum Ali amesema hana mpango wa kuendelea kutia nia ya kugombea urais kwani Rais…

Soma Zaidi »

Jela maisha kwa kosa la kunajisi

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha imemhukumu kifungo cha maisha jela Shedrack Saitoti baada kukutwa na hatia…

Soma Zaidi »
Back to top button