Tanzania

Mgomo wa madereva Arusha wamng’oa ofisa Latra

MGOMO wa madereva wa daladala na bajaji iliyokuwa ikiendelea katika jiji la Arusha na kushindwa kupatiwa ufumbuzi imedaiwa kumng’oa aliyekuwa…

Soma Zaidi »

Waziri Tamisemi asifu utendaji wa Rais Samia

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI ) Angela Kairuki amemshukuru Rais Samia…

Soma Zaidi »

Jata yawakumbuka wafungwa waliomaliza muda

UMOJA wa Watanzania waliosoma nchi mbalimbali (JATA ) umeweka mpango mkakati wa jinsi ya kuwafikia waliotoka gerazani kwa kuwajengea uwezo…

Soma Zaidi »

Wahujumu ugawaji pembejeo kukamatwa

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara kuwachukulia hatua watendaji wa kata na vijiji ambao…

Soma Zaidi »

Serikali kurudisha viwanda vya kubangua korosho

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imeona umuhimu na faida kubwa ya kubangua korosho nchini na sasa imedhamiria kurudisha viwanda…

Soma Zaidi »

Bodaboda waonywa uvunjifu wa sheria

MKUU wa Dawati la Elimu ya Usalama Tanzani TRAFIC ACP Michael Delali amewataka wanaosafirisha abiria kwa chombo cha pikipiki (Bodaboda)…

Soma Zaidi »

Pinda asherehekea miaka 75 ya kuzaliwa Mtwara

WAZIRI Mkuu mstaafu, Mizengo Pinda leo ameadhimisha miaka 75 ya kuzaliwa kwake mkoani Mtwara. Maadhimisho hayo yameanza na sala takatifu…

Soma Zaidi »

Wasiorejesha mikopo kuchukuliwa hatua

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Morogoro imevitaka vikundi vyote vya Manispaa ya Morogoro ambavyo havijafanya…

Soma Zaidi »

TET waja kivingine somo la historia

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imesaini mkataba wa makubalino na Kituo cha Urithi wa Ukombozi wa Bara…

Soma Zaidi »

Prof. Mkenda: Kuishia la sita haianzi mwakani

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mchakato wa mapitio ya Sera ya Elimu…

Soma Zaidi »
Back to top button