Tanzania

Halmashauri Wilaya ya Iringa yahamia Ihemi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Iringa imehamisha rasmi huduma zake za kiofisi katika majengo ya siasa ni kilimo mjini Iringa na…

Soma Zaidi »

Sh milioni 30 kusaidia elimu wasichana jamii ya wafugaji

ZAIDI ya Sh milioni 30 zimechangwa na Shirika la Mipango na Maendeleo ya jamii Longido (CBO) na Shirika mwenza la…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa pole kifo cha Baasaleh

RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa waumini wa dini ya Kiislamu, kufuatia kifo cha mwanazuoni Sheikh Ali Baasaleh “Nimepokea…

Soma Zaidi »

Mheshimiwa huna mshahara

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana amesema kinachowaponza madiwani na wabunge ni kujiita waheshimiwa. Kinana ameyasema hayo…

Soma Zaidi »

Serikali kuboresha ruzuku ya pembejeo

SERIKALI imejipanga kuendelea kuboresha sekta ya kilimo kuelekea msimu mpya kwa kutoa ruzuku ya pembejeo kwa mazao yote tofauti na…

Soma Zaidi »

Asherehekea siku ya kuzaliwa kwa kutoa msaada wa mahindi

MONICA  Nduyai (100) mzaliwa wa kijiji cha Idendui Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha amesherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza…

Soma Zaidi »

Mwenge wa Uhuru wazindua madarasa 14 sekondari Kagongwa

MWENGE wa Uhuru umezindua vyumba 14 vya madarasa vilivyojengwa kwa thamani zaidi ya sh millioni 470 katika shule ya sekondari…

Soma Zaidi »

Kinana aahidi jambo wakulima wa pamba

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Abdulrahman Kinana ametembelea mashamba ya pamba wilayani Itilima, mkoani Simiyu ili kujionea ustawi…

Soma Zaidi »

Fedha za kijiji ‘zapotea’ Ofisi ya Maliasili Wilaya

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara,  Abdulrahman Kinana ametoa wiki moja kwa ofisi ya Maliasili Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Kinyozi mbaroni akidaiwa kunajisi

JESHI la polisi mkoani Geita linamshikilia, Simon Faida (24) mkazi wa Kijiji cha Msasa, Kata ya Busanda wilayani Geita kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button