Tanzania

Tanzania yapiga hatua ustawi rasilimali watu

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema Tanzania imepiga hatua kubwa katika kusimamia ustawi wa Rasilimali watu kwa kuimarisha sekta…

Soma Zaidi »

Aweso ampokea Makamu wa Rais Benin

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amempokea Makamu wa Rais wa Benin, Mariam Chabi Talata ambaye amewasili uwanja wa ndege wa…

Soma Zaidi »

Wanufaika na kuku soko la Kisutu

WAFANYABIASHARA wa viungo mbalimbali vya kuku wanafurika katika Soko la Kuku Kisutu lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

Aliyesababisha ajali Mwanza akamatwa

Jeshi la polisi mkoani Mwanza limemkamata Oswald Kaijage Binamungu (39) mhandisi wa umeme katika mgodi wa Geita Gold Mining (GGM)…

Soma Zaidi »

Wadau kanda ya ziwa wataka maboresho sheria utoaji mimba

Baadhi ya wahanga wa utoaji mimba usio salama na madaktari wa mikoa ya Kanda ya Ziwa wameshauri kulegezwa kwa masharti…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atoa siku 7 barabara Muhimbili

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar…

Soma Zaidi »

Washauri kusoma nje kuendana na fursa za ajira

TAASISI inayounganisha wanafunzi kwenda kusoma nje ya nchi ya EduKwanza imewataka wanafunzi wasiogope kwenda kusoma nje kwa sababu kuna fursa…

Soma Zaidi »

Serikali yashitukia uingizaji mifugo kinyemela nchini

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema ana taarifa mifugo inaingizwa kinyemela katika Mkoa wa Ruvuma na kusababisha uoto wa…

Soma Zaidi »

Afrika yashauriwa umoja kukabili athari vita Ukraine

WACHAMBUZI wa masuala ya demokrasia na uchumi wameshauri Tanzania na nchi nyingine za Afrika Mashariki zishikamane kuimarisha uchumi kutokana na…

Soma Zaidi »

Tume yabariki watuhumiwa walioachiwa kukamatwa

TUME ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za hakijinai imependekeza utaratibu wa watuhumiwa kukamatwa baada ya kufutiwa mashitaka uendelee. Muhtasari…

Soma Zaidi »
Back to top button