Tanzania

Mbolea ya ruzuku yamuweka matatani

SERIKALI ya Mkoa wa Iringa imemnasa mfanyabiashara Maneno Yusuph Kivembele (50) mkazi wa Ilula wilayani Kilolo akihususishwa na tuhuma ya…

Soma Zaidi »

Atozwa faini uhujumu miundombinu ya maji

MAMLAKA ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga (KUWASA) imemtoza faini ya Sh milioni 2 Samweli…

Soma Zaidi »

Uanzishwaji wa bima kunufaisha wananchi Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa huduma mpya ya Bima…

Soma Zaidi »

MA-DC watakiwa wasitumie mabavu

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amesema kuwa hatarajii kuona Mkuu wa Wilaya anatumia nafasi yake kuwaweka ndani wananchi…

Soma Zaidi »

Wapongeza kuanzishwa kwa Mfuko wa Hijja

KUANZISHWA kwa Mfuko wa Hijja kumetajwa kuwa kutaongeza nafasi nyingi zaidi kwa waumini wa dini ya Kiislamu kutekeleza ibada ya…

Soma Zaidi »

Dar yajipanga biashara, mwendokasi saa 24

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wakazi wa jiji hilo wajipange kufanya biashara saa 24. Pia…

Soma Zaidi »

Uongozi wa mabasi ya New Force watii amri

UONGOZI unaosimamia mabasi ya New Force umetii amri ya Mamlaka ya Udhibiti Usafi ri Ardhini (Latra) kuyazuia kuanza safari saa…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 1 kujenga sekondari Dinyecha

SERIKALI imetoa zaidi ya Sh bilioni 1 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari Dinyecha iliyopo Halmashauri ya Mji…

Soma Zaidi »

Wizara yapongeza viwango, weledi TSN

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Selestine Kakele ameipongeza Kampuni ya Magazeti ya Serikali…

Soma Zaidi »

Serikali yaonya taasisi za dini usajili, maadili

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni ameonya taasisi, mashirika na viongozi wa dini wanaotumia dini kuhamasisha mambo…

Soma Zaidi »
Back to top button