Tanzania

SIDO, Bucreef kutengeneza mamilionea wapya Geita

SHIRIKA la Kuendeleza Viwanda Vidogo (SIDO) kwa kushirikiana na Mgodi wa Bucreef imekuja na mradi wa kuwezesha wajasiliamali Halmashauri ya…

Soma Zaidi »

Madiwani watakiwa kudhibiti wizi wa fedha za miradi

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewaagiza madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kusimamia miradi mbalimbali inayofanyika kwenye…

Soma Zaidi »

“Nimefurahishwa wananchi kuchangia ujenzi wa zahanati”

WANANCHI wameshauriwa kujijengea utamaduni wa kushiriki na kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo na kuacha tabia ya kuitegemea serikali pekee. Mwenyekiti…

Soma Zaidi »

IDDEF wakabidhi ng’ombe, mbuzi Sikukuu Eid al-Adha

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amekabidhiwa jumla ya ngombe 500 na mbuzi 1000 na Jumuiya ya IDDEF ya…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 230 kuboresha miundombinu ya elimu ya awali

SERIKALi imetoa Sh bilioni 230 kuanza uboreshaji miundombinu ya elimu ya awali na elimu ya msingi ukiwemo ujenzi wa madarasa…

Soma Zaidi »

OUT, VETA wazindua programu ya uzamili

CHUO Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kwa kushikiana na Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), imezindua Program…

Soma Zaidi »

Utafiti kuleta majibu matumizi bayoteknolojia ya kisasa Tanzania

KATIKA miongo mitatu iliyopita kumekuwepo na maendeleo ya kasi kwenye matumizi salama ya bioteknolojia ya kisasa ambayo yameleta athari chanya…

Soma Zaidi »

Kamati yataka sheria, adhabu hoja za CAG

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema ni muhimu kuweka adhabu kwa maofi sa masuuli wanaoshindwa…

Soma Zaidi »

‘Makubaliano uwekezaji bandari hayana tatizo’

SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema makubaliano kuhusu uwekezaji wa bandari hayana tatizo hivyo wananchi wasiwe na wasiwasi. Dk…

Soma Zaidi »

Ubunifu kuongeza soko wafanyabiashara Kagera

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Erasto Sima ametoa wito kwa wanawake wafanyabiashara kufanya ubunifu katika biashara zao ili kukabiliana na…

Soma Zaidi »
Back to top button