Tanzania

Watanzania mil 8.3 wajiunga ushirika

TANZANIA leo inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya vyama vya ushirika duniani ikiwa na vyama 7,300 vya ushirika nchini vyenye jumla…

Soma Zaidi »

Mikataba ya bil 507/- yasainiwa mwendokasi

SERIKALI kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), imesaini mikataba mitano, ikiwemo minne inayohusu kuanza kwa ujenzi wa miundombinu ya usafi…

Soma Zaidi »

RC ataka wafanyabiashara wa Mwenge kurejea sokoni

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki moja kwa wafanyabishara wote wa soko la Mwenge Coca-Cola…

Soma Zaidi »

Mhasibu Dar adaiwa kughushi bil 8.9/-

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imempandisha kizimbani mhasibu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Alinanuswe Mwasasumbe na kumsomea…

Soma Zaidi »

Madiwani watakiwa kufuatilia miradi ya maendeleo

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ametoa rai kwa madiwani wa halmashauri ya Karatu kufuatilia miradi ya maendeleo inayotekelezwa…

Soma Zaidi »

Jifunze Kiswahili-Sehemu ya 6

We proceed with our topic six. This topic is about telling time in kiswahili The importance thing in telling time…

Soma Zaidi »

Waandishi wa habari wapigwa msasa Shinyanga

WAANDISHI wa habari nchini wametakiwa kujifunza mifumo ya bajeti, sheria, kanuni na miongozo ili waweze kuandika habari zenye ubora zaidi…

Soma Zaidi »

Wafariki wakichimba mchanga

WATOTO wawili wa familia moja wamekutwa wamefariki baada ya kufukiwa na mawe wakati wakichimba mchanga katika eneo la Maharahara kijiji cha…

Soma Zaidi »

UNFPA kupunguza vifo wajawazito, watoto

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa linaloshighulikia Idadi ya Watu (UNFPA) limekabidhi magari saba kwa serikali lengo ni kusaidia programu ya…

Soma Zaidi »

Bodi ya wahasibu yatangaza ufaulu

JUMLA ya watahiniwa 4,205 kati ya watahiniwa 6,837 waliosajiliwa katika vituo 12 nchini wamefaulu mitihani ya 97 ya Bodi ya…

Soma Zaidi »
Back to top button