Tanzania

Msuya: Ndoto za Nyerere zimetimia

WAZIRI Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Cleopa Msuya amesifu ndoto za Mwalimu Julius Nyerere zinavyotimizwa kupitia miradi…

Soma Zaidi »

Tanzania, China kushirikiana uzalishaji nishati

WAZIRI wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Tanzania na China zimefikia makubaliano kushirikiana katika utekelezaji wa miradi ya uzalishaji wa…

Soma Zaidi »

Serikali kuimarisha masoko ya kilimo nje

Serikali imesema inaendelea kuimarisha masoko ya mazao ya kilimo ndani na nje ya nchi. Naibu Waziri wa Kilimo, Antony Mavunde…

Soma Zaidi »

Akamatwa kwa kumiliki bastola kiholela

JESHI la polisi mkoani Shinyanga limefanikiwa kukamata bastola yenye namba 07IT4823 ikiwa na risasi tano katika doria iliyofanyika mwezi Mei…

Soma Zaidi »

SUA, taasisi India kufanya utafiti wa mazao

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)  kimeanzisha ushirikiano na taasisi za nchini India, wakiwemo watafiti wabobezi kufanya tafiti za…

Soma Zaidi »

Aliyeuwa kisa pesa ya umeme akamatwa Arusha

JESHI la polisi mkoani Arusha linamshikilia mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Blandina Fred ,26 mkazi wa kijiji cha Elkilevi…

Soma Zaidi »

Arusha wasitisha vibali uhamisho walimu

KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha, Misaille Mussa, amesitisha vibali vya uhamisho wa walimu kwa kisingizio cha mazingira mabovu, ili kuweza…

Soma Zaidi »

Kijue Kiswahili Sehemu ya Tano-2

Telling dates in Swahili In kiswahili telling dates follows the ordinary numbers system as one tells  the date first ,then…

Soma Zaidi »

Naibu waziri afafanua ajira sekta ya utalii

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema ili kuhakikisha vijana wengi wanalitumikia taifa, jeshi la uhifadhi wa wanyamapori…

Soma Zaidi »

Tanzania yahimiza ushirikiano zaidi majeshi Afrika Mashariki

MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Jacob Mkunda ametaka vikundi vya ulinzi na usalama vinavyoshiriki zoezi la Ushirikiano Imara…

Soma Zaidi »
Back to top button