Tanzania

Kata ya Maboga walia na ubovu wa barabara

WANANCHI wa kata ya Maboga wilayani Iringa wanakabiliwa na adha ya ukosefu wa huduma ya usafiri wa abiria baada ya…

Soma Zaidi »

Wanaotaka kulipiwa mahari wafikia 1,000

IMEELEZWA kuwa hadi sasa watu zaidi ya 1,000 wameonesha nia ya kutaka kuoa kwa kulipiwa mahari na Taasisi ya Kiislamu…

Soma Zaidi »

Ufafiti: Ushirikina wazuia wanawake uvuvi

IMANI za kishirikina zinaelezwa kuwazuia wanawake kushiriki katika shughuli za kuvua samaki kwenye maziwa na bahari, hivyo shughuli hiyo kulazimika kufanywa…

Soma Zaidi »

ATCL yatangaza mabadiliko ratiba za ndege

SHIRIKA la Ndege Tanzania limetangaza uwepo wa changamoto za mabadiliko ya ratiba za ndege kutokana na uchache wa ndege zilizobaki…

Soma Zaidi »

Mbeya wazindua wiki nenda kwa usalama

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amezindua wiki ya nenda kwa usalama barabarani Kimkoa kwa kufanya ukaguzi…

Soma Zaidi »

Aweso azungumzia upungufu wa maji Mwanza

WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amewatoa hofu wakazi wa Jiji la Mwanza kuhusu upungufu wa maji katika kipindi hiki na…

Soma Zaidi »

Mufti amteua Ngeruko kuwa Naibu Kadhi Mkuu

MUFTI na Shehe Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir bin Ally amemteua Shehe Ally Khamisi Ngeruko kuwa Naibu Kadhi Mkuu wa…

Soma Zaidi »

337 ruksa kurudia mtihani kidato cha nne

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeruhusu wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne warudie kuufanya mwezi…

Soma Zaidi »

CAG apendekeza tathmini manufaa bei za mazao

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) amependekeza serikali ifanye tathmini kuhakiki kama kuongezeka kwa bei za mazao…

Soma Zaidi »

Mpango: Walioiba fedha za umma watakiona

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema kukithiri kwa wizi wa fedha za umma ni ishara ya mmomonyoko wa maadili…

Soma Zaidi »
Back to top button