Tanzania

RC Arusha awapa mbinu Temesa

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewashauri Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (Temesa), kuboresha huduma zao na kuzitoa…

Soma Zaidi »

‘Pikipiki zitumike kwa shughuli za kilimo’

SERIKALI mkoani Tanga, imepiga marufuku pikipiki zilizotolewa na Wizara ya Kilimo kwa ajili ya kusimama shughuli za kilimo kutumika kama…

Soma Zaidi »

Mwimbaji injili kushiriki Pasaka

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili nchini Christopher Mwagila, amethibitisha kushiriki kwenye tamasha la Pasaka Aprili 9, mwaka huu Leaders Club…

Soma Zaidi »

Mtoto wa siku mbili atupwa chooni

MTOTO anayekadiriwa kuwa na umri wa siku mbili amenusurika kifo baada ya kutupwa chooni na mama yake mzazi mara baada…

Soma Zaidi »

Wachimba madini Mtwara kushiriki huduma za jamii

OFISA Madini Mkazi Mkoa wa Mtwara, Mhandisi Ephraim Mushi ametoa rai kwa wachimbaji wa madini mkoani humo kushiriki kikamilifu huduma…

Soma Zaidi »

Bulembo: Fuateni utaratibu ununuzi ardhi

MKUU wa Wilaya ya Kigamboni, Halima Bulembo amewashauri Watanzania kufuata utaratibu wa kununua ardhi ili kuepuka migogoro inayotokana na baadhi…

Soma Zaidi »

Serikali yaingiza Sh milion 68 utalii Arusha

SERIKALI imengiza Sh milioni 68 kuanzia Julai, 2022 hadi Februari, 2023 badaa ya watalii zaidi ya 12,000 kutembelea Hifadhi ya Msitu…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 9 kuwekezwa kilimo cha mpunga gereza la Kalilankulukulu

SERIKALI imetenga Sh bilioni 9 kwa ajili ya kuanzisha kilimo cha umwagiliaji katika mashamba ya mpunga ya Gereza la Kalilankulukulu…

Soma Zaidi »

Samia ataka waislamu kuliombea taifa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka waumini wa kiislamu kuendelea kuliombea Taifa katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Kupitia…

Soma Zaidi »

Wanahabari kimataifa kutembelea hifadhi Tanzania

FILAMU ya royal tour imeanza kuonesha mfanikio nchini, ambapo waandishi wa habari wa kimataifa 24 kutoka nje ya nchi watatembelea…

Soma Zaidi »
Back to top button