Tanzania

Samia: Viongozi mjitathmini

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza…

Soma Zaidi »

Gambo: Karibu tufanye siasa Lema

Mbunge wa Arusha Mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mrisho Gambo amemkaribisha nchini aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Godbless Lema…

Soma Zaidi »

Chadema yawatolea macho wana CCM wawili Iringa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewataja wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wawili kinaowamezea mate, mjini Iringa. Wanachama hao…

Soma Zaidi »

Aweso: Acheni kufanya kazi kwa mazoea

WAZIRI  wa maji, Jumaa Aweso amewataka watendaji kutozoea shida za wananchi na kuhimiza uwajibikaji utakaoleta tija kwa taifa Amesema ameyasema…

Soma Zaidi »

Mtaturu: Dk Slaa amepoteza mwelekeo

MBUNGE wa Singida Mashariki (CCM),Miraji Mtaturu amemjibu aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk.Wilbroad Slaa kuwa amepoteza mwelekeo baada kukosa…

Soma Zaidi »

Iramba wamshukuru Rais ruzuku ya mbolea

WAKULIMA wilayani Iramba mkoani Singida wamemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan,kwa kutoa ruzuku ya mbolea katika msimu huu wa kilimo ambayo…

Soma Zaidi »

Ngrongoro wajipanga matumizi ya ardhi

MKUU wa Wilaya ya Ngorongoro, Raymond Mwangwala, amesema kuwa Halmshauri ya Wilaya ya Ngorongoro, kwakushirikiana na Tume ya Taifa ya…

Soma Zaidi »

Mmiliki kituo cha watoto kuendelea kushikiliwa

Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi Jamila Yusuf ameagiza kuendelea kushikiliwa na Jeshi la polisi mmiliki wa kituo cha…

Soma Zaidi »

Kanisa Katoliki Geita lasitisha huduma siku 20

OFISI ya Askofu Jimbo Katoliki la Geita imeazimia kusitisha huduma zote za kiibada na kisakramenti katika Kanisa Kuu la Kiaskofu…

Soma Zaidi »

Maofisa ugani Iringa wapewa pikipiki

SERIKALI imetoa pikipiki 216 kwa maofisa ugani wa Mkoa wa Iringa, hatua itakayosaidia  kumaliza kilio cha wakulima kutofikiwa kwa wakati…

Soma Zaidi »
Back to top button