Tanzania

Mfumo kukabili majanga EAC waonesha mafanikio

NCHI za Afrika Mashariki zimeanzisha mfumo maalumu wa kukabiliana na majanga unaojulikana kama East Africa Hazards Watch (EAHW) unaolenga kutoa…

Soma Zaidi »

Watumishi wa umma waonywa utoro sikukuu

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, Deo Ndejembi amewataka watumishi wa umma nchini, kuacha tabia ya kutoroka…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu atoa maelekezo hewa ya ukaa

WAZIRI Mkuu Kasim Majaliwa, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika, mkoani Katavi kupitia upya mikataba ya biashara ya hewa ukaa…

Soma Zaidi »

Serikali yakata rufaa hukumu kesi ya Sabaya

SERIKALI imekata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha juu ya kesi ya Uhujumu uchumi iliyokuwa…

Soma Zaidi »

Mpango kumuua mwanaharakati wa tembo ulivyosukwa

AGOSTI 16, 2017 jiji la Dar es Salaam na dunia kwa ujumla lilipokea taarifa ya kusikitisha ya kifo cha Wayne…

Soma Zaidi »

RC afurahishwa Kiswahili kupandishwa Mlima Kilimajaro

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu ameipongeza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa juhudi zake za kuendeleza lugha…

Soma Zaidi »

Wahofu ongezeko mbwa wenye vichaa

WAKAZI wa mamlaka ya mji mdogo wa Katoro wilayani Geita wameiomba serikali kusaidia kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa kichaa cha…

Soma Zaidi »

Samia awataka Watanzania wadhamirie kulitumikia taifa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi wengine wa kitaifa nchini kuwatakia heri Watanzania wote katika kuadhimisha miaka 61 ya…

Soma Zaidi »

Maeneo yanayolalamikiwa kimaadili yatajwa

WAKATI utafi ti unaonesha hali ya uzingatiaji maadili katika utumishi wa umma imepanda kwa asilimia 75.9, maeneo matano yameonesha kulalamikiwa…

Soma Zaidi »

Waandishi TSN waibuka vinara kupinga ukatili

WAANDISHI wa HabariLEO Vicky Kimaro na Aveline Kitomari wameibuka vinara wa kupinga ukatili wa kijinsia na kutunukiwa tuzo zilizotolewa na…

Soma Zaidi »
Back to top button