Tanzania

Samia: Tunzeni siri za serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza wafanyakazi wa Chama cha Taaluma ya Menejimenti ya Kumbukumbu na Nyaraka Tanzania (TRAMPA) watunze siri…

Soma Zaidi »

Ajira mpya kupata mafunzo ya utumishi wa umma

WAZIRI wa nchi Ofisi ya Raisi Menejimenti ya  Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amewataka waajiri nchini kutumia…

Soma Zaidi »

Toeni tafiti kusaidia jamii – Isaka

VIJANA  wanaofanya tafiti katika nyanja mbalimbali katika nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)wameagizwa kutoa matokeo ya tafiti zao  ili…

Soma Zaidi »

Mambo mazuri chuo cha ufundi Dom

UJENZI  wa Chuo cha Ufundi Dodoma utaongeza nguvu kazi yenye ujuzi na maarifa inayohitajika kwenye uzalishaji katika maeneo mbalimbali nchini.…

Soma Zaidi »

Mzumbe kutekeleza mradi wa mageuzi kiuchumi

CHUO Kikuu Mzumbe (MU), kilichopo mkoani Morogoro,kimetengewa dola milioni 21 za Kimarekani kwa ajili kuboresha mazingira ya kufundishia na kuanzisha…

Soma Zaidi »

Mapitio Mitaala ya Elimu Msingi yakamilika

MAPITIO  ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa…

Soma Zaidi »

Makala: Mgao wa maji Dar, Pwani Bye bye

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makala ametangaza kusitishwa rasmi kwa mgao wa maji katika Mkoa wa Dar…

Soma Zaidi »

Serikali yafunguka ripoti ya uchunguzi ajali ya Precision air

WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa amesema mlango wa ndege ya shirika la ndege la Precision Air iliyopata…

Soma Zaidi »

Watakiwa kuzingatia mafunzo

SERIKALI imewaagiza  wawezeshaji wa kitaifa wanaoshiriki mafunzo  ya kujenga ujuzi  wa kuibua  hadithi za mafanikio za kujifunza za mfano katika…

Soma Zaidi »

Jenerali Mabeyo Mkuu mpya Chuo Kikuu Iringa

MKUU wa Majeshi mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo amesimikwa rasmi kuwa Mkuu Mpya wa Chuo Kikuu cha Iringa akichukua nafasi…

Soma Zaidi »
Back to top button