Tanzania

‘Mlalamikaji hahusiki kumsafirisha mtuhumiwa’

SERIKALI imebainisha kuwa kitendo cha mlalamikaji kulazimishwa kugharamia usafirishaji wa mtuhumiwa au mahabusu kwenda na kurudi rumande ni kukiuka sheria…

Soma Zaidi »

Miradi ya tril 7.127/- yasajiliwa Zanzibar

KATIKA kipindi cha miaka miwili, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) chini ya uongozi wa Dk Hussein Mwinyi, imefanikiwa kusajili miradi…

Soma Zaidi »

Wafukua kaburi, wanyofoa titi, moyo, jicho na ulimi

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawatafuta watu waliofukua kaburi na kuchukua viungo vya marehemu likiwemo titi, moyo, jicho na…

Soma Zaidi »

Mkurugenzi jiji Arusha, wenzake waongezewa mashtaka

MKURUGENZI wa Jiji la Arusha ambaye na wenzake wawili walikuwa wakikabiliwa na mashtaka saba likiwemo la uhujumu uchumi, sasa wana…

Soma Zaidi »

Safari za Ndege ruksa Bukoba

UWANJA wa ndege wa Bukoba umefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa muda kufuatia ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea…

Soma Zaidi »

Majaliwa: ‘Nilikuwa nakusanya pesa nikasome udereva’

MAJALIWA ni jina linalovuma ndani na hata nje ya nchi baada ya kuwa ‘raia wa kwanza’ aliyeshuhudia na kushiriki kikamilifu…

Soma Zaidi »

Mbunge ashangaa CHADEMA kudai “hakikumteua”

MBUNGE wa Viti Maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Cecilia Pareso ameieleza Mahakama kuwa hakuna mtu anayeweza kujiteua…

Soma Zaidi »

Anayetuhumiwa kutakatisha Sh bil 1.5 asomewa mashtaka 106

MFANYABIASHARA Gastom Danda maarufu James, mkazi wa Mbezi Beach Dar es Salaam, amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu…

Soma Zaidi »

TCRA yafungia namba za simu 52,000, zipo za matapeli

MAMLAKA ya Mawasiliano nchini (TCRA) imetangaza kuzifungia jumla ya namba tambulishi 52,087, zikiwemo zile zinazohusishwa na wizi, utapeli na ulaghai…

Soma Zaidi »

Waziri Ummy: Uzee na kuzeeka havikwepeki

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amewataka wabunge kupitisha Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote Ijumaa, wazee bila…

Soma Zaidi »
Back to top button