Tanzania

‘Fanyeni utafiti kupata ufumbuzi elimu ya juu’

VYUO  Vikuu nchini vimetakiwa kufanya tafiti, zikiwemo za namna ambavyo elimu ya juu itakidhi matakwa ya sasa ya jamii ya…

Soma Zaidi »

Wasimamishwa kazi kupisha uchunguzi mradi wa shule

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omari Mgumba, amewasimamisha kazi watumishi wanne wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza, ili kupisha uchunguzi…

Soma Zaidi »

RC Arusha aonya wakandarasi wazembe

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amewataka wakandarasi wanaopewa kazi mbalimbali mkoani humo kuhakisha wanatimiza kazi zao kwa mujibu…

Soma Zaidi »

Ushirika wahimizwa matumizi mfumo wa kidigitali

SERIKALI imehimiza matumizi ya mfumo wa kidigitali katika kusimamia vyama vya ushirika. Hayo yamesemwa leo na Mrajisi wa vyama vya…

Soma Zaidi »

Walimu wengi watoro

TUME ya Utumishi wa Walimu (TSC) imetakiwa kuwachukulia hatua walimu wanaokiuka maadili, vitendo vya utovu wa nidhamu na kudhibiti utoro.…

Soma Zaidi »

Samia: Tunatenda zaidi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Awamu ya Sita inatenda zaidi kuliko kusema hivyo wananchi watoe ushirikiano kuongeza kasi…

Soma Zaidi »

Sh bil 60 kutumika ukarabati vivuko, miundombinu

WAKALA wa ufundi na Umeme nchini (Temesa), imesema mwaka wa fedha 2022/23  inatekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi na ukarabati wa vivuko pamoja…

Soma Zaidi »

Samia atoa msaada waliojifungua watoto njiti

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa msaada wa mahitaji muhimu kwa mama waliojifungua watoto njiti katika Hospitali ya Rufaa ya Maweni…

Soma Zaidi »

Aliyemuua mdai wake ahukumiwa kunyongwa

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu kunyongwa hadi kufa mshitakiwa Hemed Ally baada ya kupatikana na hatia ya kumuua, Farhani…

Soma Zaidi »

Mahakama kutoa uamuzi maombi ya nduguze Mtemvu

KITUO Jumuishi cha Mahakama cha Utoaji Haki kuhusu masuala ya kifamilia cha Temeke mkoani Dar es Salaam, kesho kinatarajia kutoa…

Soma Zaidi »
Back to top button