Tanzania

‘Agizo la Rais limeanza kutekelezeka’

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka nchi ijitosheleza  kwa uzalishaji wa sukari yameanza kutekelezeka…

Soma Zaidi »

Rais Samia azindua kituo cha umeme Mpomvu – Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akibonyeza kitufe kuzindua Kituo cha kupokea, kupooza na kusambaza umeme…

Soma Zaidi »

KKKT kujenga Hospitali ya Rufaa Iringa

KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Iringa limepata ufadhili kutoka kwa marafiki zake wa Marekani na Ulaya…

Soma Zaidi »

Samia aagiza wahitimu Veta wasaidiwe kujitegemea  

RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Kagera kuhakikisha unatenga asilimia 10 ya fedha za halmashauri zinunue vifaa…

Soma Zaidi »

‘Nyerere alionesha njia kushughulikia wakimbizi Afrika’

MWALIMU Julius Nyerere, mbali na kuonesha njia kuhusu kushughulikia na kusimamia hifadhi ya wakimbizi, mawazo yake yalisaidia katika kuandika mkataba…

Soma Zaidi »

Sakata la anayedai kubadilishiwa namba latua NECTA

BARAZA la Mitihani nchini (NECTA), limesema linafanyia kazi taarifa iliyosambaa mitandaoni ikimuonesha mtahiniwa Iptisum Suleiman Slim akilalamika akidai kubadilishiwa namba…

Soma Zaidi »

Watakiwa kushiriki miradi ya maendelo Mtwara

WANANCHI katika Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara, wametakiwa kushiriki kikamilifu kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo inayowekezwa maeneo yao, ili kuharakisha…

Soma Zaidi »

Wamuenzi Nyerere kwa usafi Zahanati Sombetini

TAASISI ya Bethany International Services, imemuenzi hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa kufanya usafi Zahanati ya Sombetini jijini Arusha na kutoa…

Soma Zaidi »

Tanga wamuenzi Nyerere kwa usafi Mwanzange

OFISI ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga, imeshiriki kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha Baba wa Taifa, hayati Mwalimu…

Soma Zaidi »

Watuhumiwa 2,397 wadakwa matukio dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, imeteketeza kilogramu 11, 766. 88 katika kipindi cha Julai 1, 2022…

Soma Zaidi »
Back to top button