Tanzania

Mtwara watakiwa kuweka mikakati chakula shuleni

MKUU wa Wilaya ya Mtwara, Dustan Kyobya, amewataka wakuu wa shule za msingi na sekondari wilayani humu kuweka mikakati ambayo…

Soma Zaidi »

Bandari ya Mtwara yazidi kufunguka

MELI ya 13 imeingia katika Bandari ya Mtwara kupakia tani 22,000  za makaa ya mawe kuyapeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu…

Soma Zaidi »

Spika ataka ulinzi mazingira ya bahari

WIZARA ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu imetakiwa kuhakikisha inakamilisha mpango wa matumizi bora ya bahari na rasilimali zake kwa…

Soma Zaidi »

Askofu ahimiza ushirikiano kukabili panya road

MAKAMU Mkuu wa Kanisa la Pentecostal Holiness Association Mission Tanzania PHAM (T), Askofu Julias Bundala amehimiza ushirikiano wa wananchi na…

Soma Zaidi »

DC atoa neno elimu nje ya mfumo rasmi

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remidius Emmanuel ameitaka jamii kuelekeza nguvu na kipaumbele katika elimu nje ya mfumo rasmi…

Soma Zaidi »

Upatikanaji maji waboresha afya nchini

KAMPENI  ya  kitaifa ya usafi wa mazingira na kuongezeka kwa wananchi wanaopata  huduma ya maji kumetajwa kuimarisha afya ya Watanzania…

Soma Zaidi »

Miradi ya bil 5.6/- kuboresha elimu Mwanza

HALMASHAURI ya Jiji la Mwanza kuanzia Julai mwaka jana hadi Juni mwaka huu imetekeleza miradi ya elimu yenye thamani ya…

Soma Zaidi »

‘Wanawake wawe sehemu umiliki ardhi ya familia’

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa imeshauri katika utaratibu wa kurasimisha ardhi, wanawake wahusishwe kwenye…

Soma Zaidi »

Bunge kuridhia azimio kuzuia ugaidi Afrika

MKUTANO wa nane wa Bunge unaendelea ambao pamoja na shughuli nyingine, leo litawasilishwa Azimio la Bunge kuridhia itifaki ya Mkataba…

Soma Zaidi »

Wadau sheria wazungumzia faragha kwa wafungwa

SERIKALI imeshauriwa kujifunza katika nchi nyingine zinavyofanya kutoa haki ya faragha kwa wafungwa na wenza wao. Aliyekuwa Rais wa Chama…

Soma Zaidi »
Back to top button